Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wachambuzi mko wapi jamani? Tupeni uchambuzi tafadharini sana,

Kwahyo pale sakho ange-press forward, milner ange move back angempa mignolet, mignolet angempa firmino ambae angempa the little magician countinho ( ooopsssssss my bad kumbe yupo wodini) ok angempa benteke, then tungesikia bentekeeeeeeeeeeee

Au mnaonaje wadau?

Kheeeee kheeeeeeee kheeeeeee kheeeeeeeeeeeew
 
Uchambuzi gani unaotaka mkuu. Kwa kifupi ni kuwa zilikutana timu mbili mbovu. Zikacheza game mbovu. timu mbovu zaidi ikacheza mpira mbovu zaidi ikapata ushindi wa goli 1. Jukwaani kulikuwa na mashabiiki wenye kelele nyingi wakishabikia mpira mbovu.
 
Kwahyo mkuu nini kingefanyika ili ushindi upatikane kwa hawa ndugu yetu? ( ongeza sauti kidogo wasikilizaji wakusikie vizuri)

Siyo miracles mtakosaje goli zote zile kizembe halafu tufungwe ionekane miracle we squandered clear opportunities
Aiseee kweli my kaka umeongea kisoka pata kinywaji baridi kwa bill yangu, yaani nilijua leo kisasi kinalipizwa jinsi mlivyoshambulia duhhh!!!! Anyway pole sana .......
 
Mie LFC ipate Kipa tishio Na Striker bado haina bahati ukitoa Sturidge Na bahati mbaya ya Maumivu LFC itizame Man U kwa Rooney miaka mingapi yupo pale? Watauza wote ILA sio yeye mpaka wajue Ss naye basi tena. LFC tumeuza Torres tumeuza Suarez Na tunakuja kununua Striker bei mbaya wanaharibu, LFC ikiweza kuwa NA Kipa tishio atarahisisha kazi ya mabeki Na Striker dribbler Na mfungaji atasaidia Midfield kazi kuwa rahisi! Klopp anakazi Sana kuisuka timu mpaka Ss.
 
Liver mlistahili kufungwa leo! POLENI. Haiwezekani nafasi zote mlizopata hamkufunga hata moja!
 
Uchambuzi gani unaotaka mkuu. Kwa kifupi ni kuwa zilikutana timu mbili mbovu. Zikacheza game mbovu. timu mbovu zaidi ikacheza mpira mbovu zaidi ikapata ushindi wa goli 1. Jukwaani kulikuwa na mashabiiki wenye kelele nyingi wakishabikia mpira mbovu.
Lazima ukubali kuwa Liver ni mbovu na zama zimepita! Ni timu ya kawaida na ni wateja kwa Manu. Mi sio Manu.
 
Msipowafunga kabla ya mapumziko hamtashinda Leo.Man United weupe mlitakiwa muwe 1-0 hadi sasa
Bado hatuna goal conversion techniques mkuu! Ndio maana tumekuwa na shots kibaobob target ila bila mafanikio hawa jamaa wamepata moja wakaitumia vizuri.... JK anatakiwa aangalie zaidi attacking options...
 
LVG vs Liverpool P 4 W 4 GF 9 GA 2
"Liverpool are a fantastic club because I have won every game against them"

Teheeee teheeeee teheeeee teheeeeeeeeeeee

Kwani Mario gotze hakucheza? MINGS je?

Teheee teheeeee teheeeeeeee van gal bhana
 
We are LFC forever,ni timu Ya BR hii,nasubiri Ya JK next season....
 
Firmino who transformed into Ronaldinho
on Wednesday night suddenly morphed
back to 'basic Firmino.'

Teheee teheeeeee teheeeeeeeee
 
Hii timu inachosha sana. Na hawa ma cowboy na Klopp bado wanajidanganya kuwa Sturridge atapona kabisa ili aje kuongoza safu yetu ya ushambuliaji! Maana hii ni nusu ya pili ya January kwenye usajili wapo kimya tu kama vile kila kitu kiko sawa.
 
Mie LFC ipate Kipa tishio Na Striker bado haina bahati ukitoa Sturidge Na bahati mbaya ya Maumivu LFC itizame Man U kwa Rooney miaka mingapi yupo pale? Watauza wote ILA sio yeye mpaka wajue Ss naye basi tena. LFC tumeuza Torres tumeuza Suarez Na tunakuja kununua Striker bei mbaya wanaharibu, LFC ikiweza kuwa NA Kipa tishio atarahisisha kazi ya mabeki Na Striker dribbler Na mfungaji atasaidia Midfield kazi kuwa rahisi! Klopp anakazi Sana kuisuka timu mpaka Ss.

Katika mashabiki wa Liverpool wewe ndio nakuona huwa unaongea ukweli kuhusu team yenu...sio wengine kusema ukweli kuhusu team yai hawapendi Kama kina miss flani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom