Lalana lile goli la kichwa halikuwa la kukosa. Ilikuwa ni kuubetuwa tu mpira kwa juu maana kipa alikwisha toka golini. Mchecheto.Tutajutia nafasi Leo, Lallana hivi anafanya nn kwenye timu sioni anachovheza zaidi ya mdomo wake Na Media sema Lucas kaharibu nafasi ya Emre Can bora katikati. Hii game wing angecheza dogo Ojo! Nafasi tunazipaisha dah.
Inauma Sana dah! Sina mengi zaidi niwape Hongera Man U dah Leo beki zimecheza inavyotakiwa mpaka pale watu wa4 kukaba mtu mmoja Na Rooney kachwa peke yake ILA hii Game hata Draw ningeona tumefungwa. Lallana nini niongelee kuhusu huyu jamaa bora nikae kimya.Kama kawaida yenu mnacheza vizuri mnashindwa kushinda.
Mkuu ngoja nipumzike maana najiuliza tumeshindwa vipi kuwa funga? Kweli kuna miracle kwenye mechiInaitwa nje ndani hii. Ndugu @Ed n Edd nEddy upo kweli
manyau fc....nawachukia sana hawa jamaa
Kesho mtakuja kuniambia humu...hao Manyau utd. Watakula zao tatu saafi..wanaoiga kelele sana kama mabata asee.
Tungekuwa tunacheza na Soutampton or Stoke city or Crystal palace ningefikiria, ila si Manchester. Easy game.
MNAKUFA 2-0 LEO ANFIELD
Poleni sana............... Work done tuonane msimu ujao.Huyu Lallana kawa msemaji wa timu? Ananiuzi Mie mpira hachezi kazi kuongea kila akiongea na media ndio siku tunafungwa na anafanya u tumbo akae Kimya ila Kesho Manua Manua watamanua mara 3 ni 3-1 home.
Ndo mpira huo. Msimu wa pili nakufunga nje ndani.Mkuu ngoja nipumzike maana najiuliza tumeshindwa vipi kuwa funga? Kweli kuna miracle kwenye mechi