Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Guardian Linking us with dogo Inaki Williams, na James pearce reporting now kuwa Klopp anatafuta attacking player window hii, loan deals are considered also (short term plans)..


Guardian saying inak will cost £20m, tusipofanikiwa kumsajili window hii, summer itakuwa ngumu sana..bora ubebe sahiv kabla ya oil money clubs hazijaingilia kati.
 
Last edited:
And GOOOOD NEWS ni kwamba, Dortmund wameanza kutafuta replacement ya GUNDOGAN, rumours ni kwamba wanamwangalia kwa ukaribu Ramires wa Chelsea..

But nahis hii deal itafanyika summer..
 
HABARI NZURI KUPITA ZOOOOTE NI KLOPP KUWAPIGA CHINI SCUMS...HAHAHAHAHAHAHAHA
 
Klopp denies kuhusu suala la pre-contract deal na Matip, but it seems we're working on it..
 
HE'S THE MANAGER OF MY FAVORITE CLUB #LIVERPOOLFC

HOW CAN YOU HATE THIS MAN??

1452903789378.jpg
 
Funny thing is, kumbe ni Mr. Ferguson mwenyewe ndiyo alimfata Klopp, hahahaha...Asa sijui alijisikiaje alivyosikia Klopp ANATUA kwenye Kiota cha THE MOST FAMOUS RED BIRD ON EARTH, ANFIELD..
 
Cant wait kuona Pep, Simeone, Mou, Unai Emery, etc TURNING down those Scums msimu ukiisha.
 
Also Pearce reporting kuwa we've scouted Inaki Williams mara kibao

GET IT DONE KLOPP, ASAP
 
Last edited:
Wishing him Nothing but a good spell at Anfield..#Caulker

1452905201094.jpg
 
Cant wait kuona Pep, Simeone, Mou, Unai Emery, etc TURNING down those Scums msimu ukiisha.

Wewe United itakuuwa Kwa kuiwaza na kuifatilia ...kila ukila,kulala,kukojoa,kunya kuiwaza United...Utapata stroke shauri yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom