Flop of the match Jordon IbeSo far...the game of the season!!
You are absolutely right! Huyu dogo bado hajajua kwenda na move yake. Hata mimi nikicheza nae ni rahisi sana kumkaba. Daima anapigia chenga upande wake wa kulia. Ni rahisi kumsoma. Abadilike ili mabeki wasimzowee kwamba atapitia upande huu. Otherwise mwishoni alibadilika akawa anapasua diagonally ndipo alipowachanganya ArsenalFlop of the match Jordon Ibe
Game of the season in the league's or Liverpool's context? What about yesterday's 3-3 game, Toons vs. United?So far...the game of the season!!
Good analysis ila Emre Can hakutoka aliyetoka ni milner kwenye midfieldKila timu inapenda ushindi kuliko draw au kufungwa. 1. mignolet ndio kaharibu game 2. Ibe Leo flop anaonyesha mtu wapi anaenda 3. Tumepoteza mpira hata Arsenal pia walikuwa wanapoteza mpira. Hayo ndio mabaya. mazuri 1. LFC Na Arsenal wamecheza game nzuri sio Boring 2. Firminho Leo kanifurahisha Kama angetulia hat trick angepiga Na LFC wangeshinda Leo. 3. klopp kumtoa Emre Can Na Si Ibe kila mtu tulijiuliza hasa kumleta Joe Allen ILA kumbe British Pirlo kaja kufunga tehteh 4. Interview ya Klopp kukiri hapo tulikaza game Na kwenda Sana mbele Kuna vitu vingi hajapenda Na ataenda kukaa Na players sio Brendan Rogers angeongea zuri Tu Ku save kazi yake. Tuwe tunacheza Football hivi ILA kipa tuamke Kama Arsenal kuwa NA Cech tuwe tunacheza hivi hata Na timu za chini.
Ubishani wako muda mwengine unajishusha mkuu Social media zinaongelea game then unajaribu kufananisha sababu 3-3 muda mwengine bora kukaa kimya.Game of the season in the league's or Liverpool's context? What about yesterday's 3-3 game, Toons vs. United?
Yule allen akiendelea hv tunaweza tukamkosa,akaelekea zake serie A kuziba pengo la pirlo ktk mojawapo ya zile timu 3 zinazotamba kuleAllen anajua sana game mfululizo sasa tokea aje klopp anafanya vyema
Emre Can alitoka akaingia British Pirlo. ILA Milner for Benteke.Good analysis ila Emre Can hakutoka aliyetoka ni milner kwenye midfield
Dogo anaanza kukomaaFirmino leo kaonyesha thamani yake.
Ok nimekumbukaEmre Can alitoka akaingia British Pirlo. ILA Milner for Benteke.
Kama JK atafanikiwa kumbadilisha Ibe, jamaa atakuwa a very integral part ya timu. Nguvu na kasi anayo, akili ya nini cha kufanya na kufanya maamuzi ya haraka ndio anakosa.Tim nzima inastruggle kufunga goals na firmino ni mgen anacheza na players wabov pale mbele
Then jifunze kitu kinaitwa kuaddapt..suarez ilimchukua some time kuadapt epl. Alikua anaongoz kukosa goals za wazi.then he conquered epl.Dogo anaanza kukomaa