Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama JK atafanikiwa kumbadilisha Ibe, jamaa atakuwa a very integral part ya timu. Nguvu na kasi anayo, akili ya nini cha kufanya na kufanya maamuzi ya haraka ndio anakosa.
Maoni yangu Ibe anahitaj loan ya miaka 10.arudi when he is 30
Too predictable..
 
Ubishani wako muda mwengine unajishusha mkuu Social media zinaongelea game then unajaribu kufananisha sababu 3-3 muda mwengine bora kukaa kimya.
Chifu, acha kupaniki! Hapo nimebisha ama nimemchokoza huyo jamaa kwa swali? BTW, social media pia zinasema the same kwa game ya juzi, na hapa naongea ili 'kukubaliana' na wewe kuwa social media ndiyo jaji, which is totally absurd.

Lakini ni ukweli usiopingika (kama uliiangalia game ya juzi) hizo mechi mbili hadi sasa ni games of the season. Na hapa sisemi hivyo kwa sababu ya 3-3. Tempo na fluidity katika games hizo almost zilikuwa sawa. Na it is funny kuwa hata Liverpool nao walisawazisha dakika ya 90 nyumbani kama ilivyokuwa kwa Newcastle.
 
Ibe na sako...wanatakiwa wamfuate baloteli waka komae kwanza kwa misimu minne alafu ndio warud..bila ivo tutakuwa tunashinda wao wanatufungisha kizembezembe...hawajwez kabisa yaan. .
 
"Joe Allen has 1 shot on target this season. Joe Allen has 1 goal. Joe Allen is the most clinical striker in the premier league"
 
Spirit
 

Attachments

  • 1452792932356.jpg
    1452792932356.jpg
    19.4 KB · Views: 31
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!!

KLOPP HAS CONFIRMED KUWA HE TURNED DOWN MANURE UTD!!!!!


HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA, SCUMSSS...

#shitClub
 
Ningekuwa mimi, ningem-risk DS hiyo j2, him and Bobby upfront..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom