Liverpool isiyokuwa na Benteke ni timu tofauti kabisaa, imechangamka na mpira unauonaNyie sasa mtakuwa mijigoo muda si mrefu...... wapi wembeee na Ed n Edd nEddy? ??
Liverpool ipo kama inalaana kwenye mipira ya kona na crossYaani Majogoo mnaboa bana veeepee wanacops??????
Kipa wetu shatimignolet is worst than i expected
everlenk, tuna worst backkine na kipa tukishinda hii mechi bahati kwa uzembe huu any top team haiwezi ikawa inafungwa magoli ya kizembe kwa set pieces, exeter goli la kizembe la kona na leo tena.
Na Arsenal katikat si wazuri itumieni hiyo chance. .....everlenk, tuna worst backkine na kipa tukishinda hii mechi bahati kwa uzembe huu any top team haiwezi ikawa inafungwa magoli ya kizembe kwa set pieces, exeter goli la kizembe la kona na leo tena.
Emre Can, firmino, Henderson, Moreno, Clyne, have been outstanding
Nadhani umeona nilikuambia hapo juu kuhusu beki yetuNa Arsenal katikat si wazuri itumieni hiyo chance. .....
Duhhh!!! Pole sana mtani wangu pengine mtalisawazisha....Nadhani umeona nilikuambia hapo juu kuhusu beki yetu
Tunadrawna hii game tuna loose
Basi tunaweza shindana hii game tuna loose