Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hajacheza siku nyingi sana huyu jamaa lkn alikuwa mchezaji mzuriJose Enrique is expected to start as a Centre-Back kwenye game ya leo.
Hajacheza siku nyingi sana huyu jamaa lkn alikuwa mchezaji mzuriJose Enrique is expected to start as a Centre-Back kwenye game ya leo.
BogdanHajacheza siku nyingi sana huyu jamaa lkn alikuwa mchezaji mzuri
Illori has to take his chance!Beki mzuri sana huyu jamaaBogdan
Randall- Illori- Enrique- Smith
Stewart - Branaggan
Kent - Teixeira - Ojo/Sinclair
Ojo/Sinclair/Benteke
Yeah, anatakiwa kuonyesha uwezo wake ili abakie kwenye team summer hii, manake deadwoods kibao watapigwa chini.Illori has to take his chance!Beki mzuri sana huyu jamaa
Moreno,Clyne,Sakho,Lovren,Hendo,Milner,Coutihno,Ibe,Lallana na Dan bakiza wengine wote akiwepo Firmino na Benteke fukuza peleke kwa mkopo huko nje na EPLYeah, anatakiwa kuonyesha uwezo wake ili abakie kwenye team summer hii, manake deadwoods kibao watapigwa chini.
Me nadhani nitawabakiza Moreno, Clyne, Can, Coutinho, Gomez, Ings, Henderson, Firmino, Sakho and Origi.Moreno,Clyne,Sakho,Lovren,Hendo,Milner,Coutihno,Ibe,Lallana na Dan bakiza wengine wote akiwepo Firmino na Benteke fukuza peleke kwa mkopo huko nje na EPL
Yaani hata James Milner aondoke mkuu?Working rate ya huyu jamaa ni jihad sana na anafaa mno!!Lucas pia aondoka?No way mkuu!Me nadhani nitawabakiza Moreno, Clyne, Can, Coutinho, Gomez, Ings, Henderson, Firmino, Sakho and Origi.
well, Lovren been good recently, itakuwa unfair kutokumpa shout, but nataka nimuone zaid mpaka mwisho wa msimu, the good thing is, he's just 25, got a lot to prove.
Benteke, big NO, i mean itabid tufikirie kipaji chake, there's no doubt kuwa ni ST mzuri sana, lakin aina ya mpira wa LFC haiwez kumweka sawa Big Ben, na kitakachozid kumpoteza ni kutaka kwake kuprove kwa watu kuwa anafaa kucheza LFC, kipaji chake kitapotea bure tu na atakuwa scapegoat kila siku pale LFC, me nadhan teams zikija kubid, tumuuze tu, mfano tukimsign Gotze, tutakuwa na utatu wa Gotze, Cou na Firmino hawa wote wanahitaji ST mwenye movements mbele yao, So benteke atafail tu..labda Klopp ambadilishe.
DS ikitokea team inamtaka, hata bure tu aondoke, hiyo 140k anayopata inatosha kumlipa any other WC player ambaye tunaweza tukamuhitaji summer.
kama umeleta Grujic, na unategemea kuleta Xhaka na Gundogan, watu kama Milner na Lucas wa nini???Yaani hata James Milner aondoke mkuu?Working rate ya huyu jamaa ni jihad sana na anafaa mno!!Lucas pia aondoka?No way mkuu!
So far beki anayekuja bado?Jumanne na Jumamosi ijayo sijui itakuaje jamani?Sakho pona tunakuombea kwa Mungu ucheze pamoja na Lucas na Milner pale nyuma!
Cha kuomba ni tufanikiwe tu CL,Klopp ataleta watu wa maana sana lkn tume miss out kwa Lucasz alikuwa na Klopp BVB akaenda Gala lkn jana kaenda Stutgart!Ni Germany international huyukama umeleta Grujic, na unategemea kuleta Xhaka na Gundogan, watu kama Milner na Lucas wa nini???
Watu wataumia Kuona Lucas/skrtel wakiondoka, kwakuwa tu ni legends, but lets face it, hawa watu mpira ushaisha, ni muda wa kuanzisha kitu kipya pale LFC, we've Emre Can na Henderson, waongeze Grujic, ,xhaka/Bender na Gundogan, nafas ya Lucas na Milner itakuwa wapi??? wenzetu kila siku wanafanya uwekezaji mpya kwenye eneo la kiungo, sisi bado tupo na kina Lucas..tunahitaji kitu kipya.
Sakho na Kolo wote watakuwepo game zinazokuja, tunawez kusikia chochote kuhusu subotic weekend hii.
we never wanted him bro.Cha kuomba ni tufanikiwe tu CL,Klopp ataleta watu wa maana sana lkn tume miss out kwa Lucasz alikuwa na Klopp BVB akaenda Gala lkn jana kaenda Stutgart!Ni Germany international huyu
Matip kuna kombe la kipuuzi linaitwa African Cup kila baada ya miaka miwili linafanyika mwezi mzima ns akirudi na Malaria juuwe never wanted him bro.
Klopp is desperate for Matip, Subotic kjitokeza hapa katikati kwasababu ya injury crisis tuliyonayo, na huyo Matip, Schalke 04 wanatia ugumu kuuza January hii.
hahahahahahahahhahaaaha.Matip kuna kombe la kipuuzi linaitwa African Cup kila baada ya miaka miwili linafanyika mwezi mzima ns akirudi na Malaria juu
I do not like African players sababu ya hilo kombe lao!Klopp go for Everton's Stones
Lkn anajua sana yule!Basi hata Andelweild(correct my spelling)wa Totenham nae anajua sanahahahahahahahahhahaaaha.
The bluenoses wanaweza kutupa wanawake zao tulale nao lakini siyo kutuuzia Stones.
Yeah, Stones yuko vizuri sana, we can afford him, but bluenoses hawatakubali kutuuzia yule, can see him ending up at Chelsea or Man utd.Lkn anajua sana yule!Basi hata Andelweild(correct my spelling)wa Totenham nae anajua sana
Xhaka big noKlopp been linked with the likes of Gundogan, Xhaka, Reus, Auba, Ter Stegen, Leno, Gotze etc.
why?Xhaka big no