Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kumbe kwa JK zilikua 3-0???????
Kumbe kwa JK zilikua 3-0???????
wiki ijayo kwa hesabu langu la haraka haraka nawaona mkishuka hadi nafasi 10. mjitahidi tu mshinde mana arse888 kukaa pale juu huku mtaani hatukai kwa rahaa.
Hahaaa hatuwezi kwenda huko
Mkuu sina tatizo na hizi 5 games zijazo hapo tunatoka na pointi si chini ya 10
HBD to him dah Nilijua Milner 38 anachungulia 40 Kumbe tunaye bado tehteh.Happy 30th birthday Milner
- Marko Grujic's annoucement inaweza ikawa leo, English press claiming he'll re-join club yake ya serbia mpaka mwisho wa msimu while serbia press claiming he'll NOT return to serbia, nipo njia panda, but nimeamua kidogo niwe upande wa English pressWadau naombeni transfer news za Liverpool. Hata Kama za uongo ilimradi zinifariji hivyo hivyo
nikupe matumaini tu point3 kwa game la manure lakini mengine nitakuja kutoa pole.
HBD to him dah Nilijua Milner 38 anachungulia 40 Kumbe tunaye bado tehteh.
hahahhhahahah muingereza wa kujifungia zinaweza kuwa na ukweli unapokuwa Benteke amabye anapoteza mipira easily ni rahisi kuwa attacked tena na hizi timu zinazo cheza counter attack maana wao wakipata mpira toka kwa benteke wanapiga pasi 3 au 4 wapo goli (kumbuka ile moreno aliyookoa upande wa Lovren na yenyewe ilikuwa counter kilichosaidia tu ni pace ya moreno)Strange stats, tumepoteza game 1 tu ambayo LALLANA alianza, hahahaha, game zote anazotokea bench tunapotea.
Na coutinho amepata hamstringdah! wanaKops wenzangu mko wapi!?
dk 20' Stoke City 0 - 0 Liverpool
We are doomed leo lovren nae hamstringdah! wanaKops wenzangu mko wapi!?
dk 20' Stoke City 0 - 0 Liverpool