Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Stoke 0 LiverpoolFc 1, Jordan Ibe. LFC sio mbaya watu wanalalamika majeruhi ndio mpira wengine wapo watacheza, Emre Can ManofTheMatch kwa Maoni yangu Leo akifuatia na Kolo Toure wa Mwisho Firminho.
 
Liverpool injury squad.

1,Bodgan
2,Gomez
3,Sakho
4,Sketo
5,lovren
6,Henderson
7,Origi
8,Rossiter
9,Ings
10,Daniel sturridge
11,Coutinho
 
Liverpool injury squad.

1,Bodgan
2,Gomez
3,Sakho
4,Sketo
5,lovren
6,Henderson
7,Origi
8,Rossiter
9,Ings
10,Daniel sturridge
11,Coutinho
Jose Enrique atakuwa Captain wao chumba cha Playstation Yule Hana majeruhi ila anakula Pesa tu na Kucheza Game!
 
Jamani hivi tuna CD kweli baada ya kuumia Lovren na Toure jana?Kuna yyt ana updates za team maana naogopa sasa hasa kuumia kwa Coutihno
 
Stoke 0 LiverpoolFc 1, Jordan Ibe. LFC sio mbaya watu wanalalamika majeruhi ndio mpira wengine wapo watacheza, Emre Can ManofTheMatch kwa Maoni yangu Leo akifuatia na Kolo Toure wa Mwisho Firminho.
Kwangu an of the match ni Allen, baada ya lucas kurudi kwenye center back Allen alibreak mipira mingi hata kabla ya ya Lucas kuwa centre back.

Partnership ya Lucas na Allen ilimfanya Emre awe huru sana ndo maana akapiga mpira mwingi hali ilikuwa mbaya zaidi baada Allen kutoka na kumuacha firmino ndani
 
Marko gruvjic .,naona dogo kamwaga wino anfield mnamzungumziaje huyu dogo..
 
Sijui kwanini sijawa interested na hii sign
 

Attachments

  • 1452099005360.jpg
    1452099005360.jpg
    27.2 KB · Views: 24
jana klopp alisema atamleta neven subotic cd wa dortmund kwa mkopo kabla ya fa fixture ya ijumaa dhidi ya exeter,na atawarudisha TIAGO ILLORI OJO kutoka kwa mkopo
na tayri kuna kipa mpolish amesajiliwa
NGOJA NITAWEKA DETAILS VIZURI BAADAE
 
Klopp amesema Grujic atapelekwa kwa mkopo apo apo alipo adi mwisho w msimu
 
Kuna updates zozote za majeruhi jamano Pazi
mak89
MosDef
-Lovren and Coutinho wanaweza wasiwepo kwenye 2 next games dhidi ya Arsenal na Man utd

-Sakho atakuwepo games zinazokuja dhidi ya Arsenal Man utd

-Skrtel, Flanagan, Henderson, Origi, Ds, Ings, Gomez, Etc, are still out injured

-Kolo's out for 1 week, klopp saying hatocheza kesho dhidi ya Exter

-We've recalled Ojo, kent and TIAGO ILORI

-Been linked with a loan move kuhusiana na Subotic

-CENTRE-BACKS wetu wote ni majeruhi (wawili tu ndo wanaweza kumake it kwenye game ya Arsenal, Sakho na kolo.)


Klopp anatakiwa kubadilisha mfumo wa mazoezi, unaicost team, Hamstrings injuries zimekuwa nyingi, though Coutinho amekuwa hovyo kwenye games zilizopita, but tutam-miss sana kwenye hiz games, ni BIG GAMES PLAYER, and with Lovren's current form, kukosekana kwake ni blow kubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom