Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hii ni kwasababu ya mchango na utofauti anaoleta mchezaji kwa kila game anayocheza, Sakho muda mwingi anakuwa nje akiuguza majeraha, but akirud katika games 2-3 unaona utofauti, mfano mkubwa Sisi tunaye DS, mpaka sasa kacheza games ngap? lakin kwa hizo games tayar unaona utouti anaoleta akiwa uwanjani kuliko Benteke, na Benteke msimu huu akifunga goals zaid ya DS, ataonekana yeye bora, kwasababu DS hajaonekana sana uwanjani, na ana games chache sana, na always huwa inakuwa hivyo, Rooney has been dire this season, lakin akifunga goals 5-7 zaid ya Sturridge, hatuwez kuja kusema stilk DS ni better than Rooney, coz DS kacheza games chache sana, so ule MCHANGO WAKE ambao ni crucial wa kurate players contribution per minutes unakuwa unam-beba Rooney, na ndo ulim-beba Fonte over the years, kacheza games 30, Alder kacheza games 19, so ni lazma, Fonte atakuwa kamzid Alder katika percentage za clearence, blocks etc?

This whole point yako doesnt stand coz stats nlizokutumia zimebreak down their defencive actions per game😃...so ni avarage value...sio total tackles..or total blocks.or total interception. ...its tackler per game interception per game...etc.

Yani iyo point yako juu umejicontradict sana lol...umetwist n kuturn kama lallana😀😀

Mie nmekupa stats za defencive action per game na sio total defenciv actions....

Kama fonte alikua na superior defencive actions per game kuliko toby..that means unawez chukua only 19 games za fonte that season na bado akawa superior to toby...unless somo la hesabat is chinesse arithmetic to u.....

Mfano...interception
Fonte 3 interception/game.
Toby 1 intercpton/game

So fonte ndan ya 19 games atakua amefanya interception 19*3=57

Toby ndan ya 19 games atakua amefany interception 19*1= 19...

57 na 19 ni total defencive actions. ...... 3 na 1 ni avarage/ defencive actions per game.....
 
useless Benteke don't let your lucky goal FOOL us,
Lovren leo kafanya kaz yake
 
Narudia tena CB anakuwa kwenye highest pick kuanzia 27-30, hilo suala la kunambia kama Fonte angekuwa 24, BR angemwaga pesa ni la ajabu, Thiago Silva ana miaka 31 sahiv, but ukimweka Sokoni lazma watu wamwage pesa same kwa Kos, Man utd last season walikuwa tayar kumwaga pesa kwa Ramos ambaye ni 29 now, Pique is 28 lakin akitaka kuondoka leo barcelona watu wangemwaga pesa, Barcelona walimtaka Agger akiwa na miaka 29, kwanini wasimtake Huyo Fonte??

Again, Lescott, Distin etc ni frauds, hawajawahi kuwa CB wazuri katika maisha yao.

Nini maana ya Partnership/pair katika mpira??? kucover errors na mistakes za mwenzako, ndo kitu ambacho kinamake a great pair/Partnership, na ndo maana mantiki halisi ya kubebana inapokuja, Partnership huwa inakuwa mbovu kama DF wote wawili ni Shit, na nikatoa mfano wa Fonte na Yoshida, au Mangala na Otamendi, Skrtel na Lovren etc, Fonte alionekana bora Msimu wa 2013/2014 kwasababu ya Lovren, Fonte alitoka na Clean sheets mara nying akiwepo na Alder msimu uliofatia, msimu huu kawa shit again coz yupo na bek mpya kwenye league Van Djik..

Lol, bro muulize fan yoyote wa United atakwambia kuwa NEMANJA VIDIC MADE RIO, Vidic ndo alimrudisha Rio kwenye kiwango chake cha Leeds, Vidic ndo akifanya Rio aifumbe midomo ya shit critics wote, ile partnership ilikuwa hatari sana, Vidic kafika united 2006, kamkuta Rio akiwa katika lundo la criticsm na scandals, Kumbuka alichukuliwa leeds kwa ?30m na pundits walikuwa wanasema bado hajafikia hicho kiasi, na isitoshe ile scandal yake ya Kutumia dawa za kuongeza nguvu, ni kuanzia hiyo 2006 ndo one if the greatest CB pairing kwenye league ndo ikaibuka, Vidic na Rio..asa unaposema Vidic alicheza na Rio wakat Rio anaanza kuzeeka ulikuwa unamaanisha nini?? Rio kaanza kupotea akiwa kwenye 34, Nemanja aliondoka united 2014 akiwa na miaka 33, Rio aliondoka akiwa na miaka 35 kama sikosei mwaka huo huo, Na nemanja mpaka anaondoka united tayar mpira wake ushaanza kuisha, New era ya CB ilikuwa inaanza Pale united.

Hilo swali la Mwisho, huwa haliulizwi na Shabiki wa LFC, coz kila shabiki wa LFC anaelewa mzizi wa kupotea kwa LFC uwanjani over the years, ni kuuzwa kwa hao watu wawili Masch na Alonso, Masch forced a move kwenda Barca, but The owners and Benitez waliforce move ya Alonso kwenda Madrid, huo ndo ukawa mwisho wa LFC, mpaka leo tumeshindwa kureplace hao watu, Muulize SG msimu wake bora pale LFC ni upi atakwambia ni 2008/2009, SG alikuwepo LFC for years, but hakuwah kucheza kwa raha kama msimu wa 2008/2009, Alonso na Masch waliondoka SG na Torres wakat, kilitokea nn msimu uliofata? Unajua kuwa Form ya SG ilididimia baada ya hapo? unajua kuwa Torres turned shit? unajua kuwa LFC turned to be a Mid-table team? and most of all tunaongelea kuhusu Pairs, Alonso na SG wanacheza Position tofauti, Katika Eneo alilokuwa anacheza SG hakuwa na mpinzani (CAM), But Eneo alilokuwa anacheza Alonso halikuwa na mpinzani, The same kwa Masch.

Misimu miwili ya mwisho SG aliona acheze CM, baada ya kuona upuuzi unaofanywa hapo katikati, but alifikia hata nusu ya kiwango cha Alonso??? i mean Alonso yule na huyu wa sasa wa Bayern mwenye miaka 34?

Lol . MosDef unachekesha.kuna tofaut ya silva ramos na pique with likes of fonte coz ni world class cbs..hamna tim inayowez kutoa hela nying kwa beki wa miaka 31 ambae sio world class.acha kubluff.distin lescot dunn washakua na great seasons in epl..

Kwa rio na vidic wala usilete habar zako za kubebwa bebwa...rio anarudi kutoka his 8 monthes ban anarudi uwanjan na kiwango cha juu zaid..he scored against us in the game alorudi...vidic struggled kwa nusu msim when he first arrived na alikua comedian in his debut game agains city waliofungwa 3-1..fowler akifunga in that game

Ilikua sikuzote vidic akicheza upande wa kulia na lcb akiwa either heinze or brown vidic struggled...this was public knowldge...rio pamoja hakua in his best alikua akicheza na vidic ndo vidic anadeliver his best games....

Alonso na mascherano kuondoka ndo liver Imeanza kushuka ilo kila mtu anajua but kusema alonso ni better player than gerro ni kutojua nini unaongea...alonso n mascherano squeezed the best out of gerro but haimaniish walikua better players lol wewe mtu....gerro is second best player in lfc history na hata zidane aliwah sema gerro is world best player.....usimfananishe na alonso kabisa...japo alonso is better central midfielder than gerrard.ila gerro was allround much better footballer than xabi and mascherano.......... galacticos walianza kushukua alivouzwa makelele..but for heavensake hiyo haimanish makelel was better than zidane or figo...football is eleven men game..

Form ya alonso na mascherano was instrumental in gerros two best season kweny club..gerro had better seasons than both alonso n mascherano...and he was considered best in the world.... so gerro alikua better player than those two hata kama wao uwepo wao ndo ulimfanya awe bora zaid......whats so hard to understand here???

Same as fonte na toby...japo toby alicheza game 19 lol...fonte was soton best cb na epl best......hii ndo debate yetu..nani amekua solid in epl kati ya lovren na fonte...its fonte...
 
Last edited by a moderator:
Unakuta kuna mtu kakaa kabisa anamsifia benteke kwa performance hahahha this man is too shit

We play well ila we still shit tunakosa magoli ya wazi kabisa marking is problem kwetu tena kubwa

Siku hizi nikimuona lovren roho yangu inatulia kabisa he did well kwa mbali naiona image ya agger ndani yake

Pointi Tatu si haba good to go
 
Leo tumecheza vizuri hasa midfield Emre Can, ameitawala vizuri akishirikiana na Hendo Lallana na kukata mirija ya wapinzani wetu,problem tulikosa umakini mbele tungewrza pata ushindi wa goli 3 kihalali ila ndoo game ilivyo muhimu tumecheza kwa descpline na Kloop amefanya sub zake vizuri ili kupunguza pressure ya mchezo na kujilinda vizuri,mwisho wa siku point3 kibindoni!!YNWA!!!
 
Lovren...
 
Attachments

  • 1451155860827.jpg
    1451155860827.jpg
    36.4 KB · Views: 165
This whole point yako doesnt stand coz stats nlizokutumia zimebreak down their defencive actions per game😃...so ni avarage value...sio total tackles..or total blocks.or total interception. ...its tackler per game interception per game...etc.

Yani iyo point yako juu umejicontradict sana lol...umetwist n kuturn kama lallana😀😀

Mie nmekupa stats za defencive action per game na sio total defenciv actions....

Kama fonte alikua na superior defencive actions per game kuliko toby..that means unawez chukua only 19 games za fonte that season na bado akawa superior to toby...unless somo la hesabat is chinesse arithmetic to u.....

Mfano...interception
Fonte 3 interception/game.
Toby 1 intercpton/game

So fonte ndan ya 19 games atakua amefanya interception 19*3=57

Toby ndan ya 19 games atakua amefany interception 19*1= 19...

57 na 19 ni total defencive actions. ...... 3 na 1 ni avarage/ defencive actions per game.....

Nipe maana ya interceptions..and what makes a good CB? interceptions?, Blocks? tackles?

huwez kutoa defensive stats per game bila kuzingatia number of minutes ambazo kila mchezaji husika amecheza, bro stats huwa zinachukuliwa kulingana na Minutes played za kila mchezaji...huwez kuruka total defensive actions, nmeelezea kuhusu majukumu ya kila CB's kwenye team zao, Pale LFC, Skrtel ndo main CB kama ulikuwa hujui, Yeye ndo anatakiwa kucheza mipira yote ya kwanza, kazi ya Sakho/Lovren (LCB) ni kucover gapes anazoacha skrtel, kaz ya LCB ni kutengeneza space kutokea nyuma mpaka kwenye MF, ndo maana quality kubwa ya LCB ni passing, (Foward passes), na kaz nyingine ni kucover kila eneo la waz ambalo RCB ataliacha (mistakes, errors etc) ambapo a Strong and quick RCB ni nadra sana kufanya hivyo, so ukileta hicho kigezo cha defensive stats per game, huwez itakuwa unfair hata kwa Van Djik, au kwa kina Sakho/Lovren etc, na uzuri nmetoa mfano wa Kompany hapo juu, mantiki yangu kubwa ni kwamba huwez kucompare stats za players per game, ingekuwa hivyo Coutinho/Kane/Fab/Cahill etc wasingeingia kwenye Team of the year, na ukifata hivyo basi Lucas leiva ni bora zaid ya DM yoyote EPL.
 
Lol . MosDef unachekesha.kuna tofaut ya silva ramos na pique with likes of fonte coz ni world class cbs..hamna tim inayowez kutoa hela nying kwa beki wa miaka 31 ambae sio world class.acha kubluff.distin lescot dunn washakua na great seasons in epl..

Kwa rio na vidic wala usilete habar zako za kubebwa bebwa...rio anarudi kutoka his 8 monthes ban anarudi uwanjan na kiwango cha juu zaid..he scored against us in the game alorudi...vidic struggled kwa nusu msim when he first arrived na alikua comedian in his debut game agains city waliofungwa 3-1..fowler akifunga in that game

Ilikua sikuzote vidic akicheza upande wa kulia na lcb akiwa either heinze or brown vidic struggled...this was public knowldge...rio pamoja hakua in his best alikua akicheza na vidic ndo vidic anadeliver his best games....

Alonso na mascherano kuondoka ndo liver Imeanza kushuka ilo kila mtu anajua but kusema alonso ni better player than gerro ni kutojua nini unaongea...alonso n mascherano squeezed the best out of gerro but haimaniish walikua better players lol wewe mtu....gerro is second best player in lfc history na hata zidane aliwah sema gerro is world best player.....usimfananishe na alonso kabisa...japo alonso is better central midfielder than gerrard.ila gerro was allround much better footballer than xabi and mascherano.......... galacticos walianza kushukua alivouzwa makelele..but for heavensake hiyo haimanish makelel was better than zidane or figo...football is eleven men game..

Form ya alonso na mascherano was instrumental in gerros two best season kweny club..gerro had better seasons than both alonso n mascherano...and he was considered best in the world.... so gerro alikua better player than those two hata kama wao uwepo wao ndo ulimfanya awe bora zaid......whats so hard to understand here???

Same as fonte na toby...japo toby alicheza game 19 lol...fonte was soton best cb na epl best......hii ndo debate yetu..nani amekua solid in epl kati ya lovren na fonte...its fonte...

Lol, Bob huelewi kuhusu Vidic na Rio bob, Au inaelekea ulikuwa humuangalii Rio wa kuanzia 2002-2005 (same problem), Rio kiwango chake kilipanda baada ya kuanza kucheza na Vidic bro, unafatulia mpira wa wapi? hili suala la pair nalielezea mara kwa mara, lakin unashindwa kuelewa, Ndo maana nikasema ni greatest pair kuwah kutokea kwenye league, (EPL) Vidic asipokuwepo, Rio alikuwa anastruggle, Rio asipokuwepo Vidic anastruggle, Nani hajui kuwa Wes brown ni shit DF, na Heinze ni Full back, (alikuwa anacheza kama CB pale inapobidi) asa kwann RCB yoyote asisitruggle na aina hii ya watu?? jaribu kusoma posts vizuri mzee..

Okey, wap nmesema Alonso ni bora zaid ya SG? nimesema kwa maeneo/position wanazocheza hakuna mwenye mpinzani, CAM na CM utawafananisha Vipi? ndo sawa sawa na Umfananishe Emre Can na Coutinho, wapi na wapi?? kazi zao uwanjani ni tofauti? SG anafananishwa na Scholes, Lampard, Yaya, Xavi, Etc, Alonso anafananishwa na Kina Modric, Can, etc, hii ndo aina ya wachezaji kama Alonso, Masch ni kama Burgos, Matuidi, Matic, Coq etc, so how can you compare them??

SG was the best CAM, but not the best CM, Zidane was the best CAM, but not the best DM, na utaletaje comparison ya Makelele na zidanae??? Messi ni world's best player, but he's not World's best Defensive Mid, the best Defensive Mid ni Burgos, Mifano kama hiyo unashindwa kuelewa?

For the past 2 season SG played as a CM, ilikuwaje?? kwakuwa ni mchezaji mzuri ulitaka acheze kama Alonso ambaye ndo eneo lake? leo hii Alonso akicheza kama CAM ataweza?? kwakuwa ni best CM? Alonso ana miaka 34 na bado ni starter Bayern, SG alishindwa kucheza as CM akiwa na miaka 32 kwasababu aliumbwa kuwa Attacking Mid, na kaprove hilo kwa dunia..

Messi anashindanishwa na Ronaldo kimpira, hashindanishwi na Pepe au Ramos kimpira..

Acheni kukrem mpira Aisee, kwa kuwa tunasema Zidane ni greatest player, ndo tunampa right ya kumshindanisha na kina Franco Baresi?? wapi na wapi?? SG ni greatest player at LFC coz achieved mengi akiwepo nasi na kutupa joys nyingi, but hakuwahi kuwa the best CM kama Alonso, au best Foward kama Robbie/Torres/Suarez, na hakuwahi kuwa beki bora kama Hyppia, Carra or Agger..Kama ni hivyo angecheza peke yake uwanjani...

I thought you said Fonte ni SOLID CB??? ANY SOLID CB NI WORLD CLASS..

Djimi Traore won UCL with LFC 2005, kwahyi hiyo inamfanya awe ameshawahi kuwa na msimu mzuri LFC?? i guess Demichelis had a numerous good seasons with City coz alishinda EPL title na CITY,
 
Last edited by a moderator:
Lol . MosDef unachekesha.kuna tofaut ya silva ramos na pique with likes of fonte coz ni world class cbs..hamna tim inayowez kutoa hela nying kwa beki wa miaka 31 ambae sio world class.acha kubluff.distin lescot dunn washakua na great seasons in epl..

Kwa rio na vidic wala usilete habar zako za kubebwa bebwa...rio anarudi kutoka his 8 monthes ban anarudi uwanjan na kiwango cha juu zaid..he scored against us in the game alorudi...vidic struggled kwa nusu msim when he first arrived na alikua comedian in his debut game agains city waliofungwa 3-1..fowler akifunga in that game

Ilikua sikuzote vidic akicheza upande wa kulia na lcb akiwa either heinze or brown vidic struggled...this was public knowldge...rio pamoja hakua in his best alikua akicheza na vidic ndo vidic anadeliver his best games....

Alonso na mascherano kuondoka ndo liver Imeanza kushuka ilo kila mtu anajua but kusema alonso ni better player than gerro ni kutojua nini unaongea...alonso n mascherano squeezed the best out of gerro but haimaniish walikua better players lol wewe mtu....gerro is second best player in lfc history na hata zidane aliwah sema gerro is world best player.....usimfananishe na alonso kabisa...japo alonso is better central midfielder than gerrard.ila gerro was allround much better footballer than xabi and mascherano.......... galacticos walianza kushukua alivouzwa makelele..but for heavensake hiyo haimanish makelel was better than zidane or figo...football is eleven men game..

Form ya alonso na mascherano was instrumental in gerros two best season kweny club..gerro had better seasons than both alonso n mascherano...and he was considered best in the world.... so gerro alikua better player than those two hata kama wao uwepo wao ndo ulimfanya awe bora zaid......whats so hard to understand here???

Same as fonte na toby...japo toby alicheza game 19 lol...fonte was soton best cb na epl best......hii ndo debate yetu..nani amekua solid in epl kati ya lovren na fonte...its fonte...

Loool, hiyo ya Rio na Vidic, ungewauliza hata united fans wakusaidie..

kuanzia 2006-08-09, walicheza games zaid ya 114 na kuruhusu goals 73 tu.(Vidic & Rio's partnership)
 
Attachments

  • 1451161473757.jpg
    1451161473757.jpg
    36.4 KB · Views: 114
Last edited by a moderator:
Tuacheni kubishana Fact za timu zengine Leo tumeshinda tufurahi Kuna rumu Leo zimefungwa huko tehtehteh vipigo mchezo? Chelsea kidogo rumu watarudi wame draw. EPL hakuna cha uvigogo Leo kwetu kesho kwao Leo kwetu furahaa.😁 point 3 LFC YNWA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom