Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

this is epl brother, haina mdogo wala mkubwa, tofauti ya ukubwa na udogo ipo kwenye waleti za timu, lakini uwanjani yyte anaku Newcastle
nimekuelewa sana kaka. kushinda zile mechi ikawa tabu. jana man city amekalishwa. hii ndo EPL
 
Kuna group moja ya fans wa Liverpool jana usiku nilipost hisia zangu kwamba kesho (leo) tunapoteza game kwa New Castle, jamaa wakanijia juu group lote. Mimi nilikua mmoja wa admins kuna wadau wakang'ang'ania nitolewe. Wamenitoa, please kama kuna group ipo ya Liverpool fans naomba access ni PM ntatuma namba.

Kiukweli Klopp bado ana hali tete, mi niliona tulivyostruggle kuifunga swansea nikaona hata leo hatutakua na hali nzuri.
 
Klopp kazingua leo, tena sana tu, na nilisema hapa jamaa itabid ajue tuna games 5 tu kubwa, last week we struggled to beat Swansea at Anfield, jana kafa 3-0 pale Liberty Stadium dhidi ya Leicester, leo hii tunakuja kufungwa na Newcastle 2-0, inamaana kila siku tutakuwa tunastruggle kuzifunga hizi teams, and tuna WBA, Watford, Leicester na Sunderland, kwa mtindo huu tutegemee nini?

hakuna point ya kuifunga City bao 4 kama tu unakuja kupoteza dhid ya Newcastle na Crystal palace..
osokonoi wewe unaangalia mpira, hautahitaji jicho la 3 kujua kuwa Benteke, Firmino and ibe combo yao haitakuja fanya kazi..

Mkuu mosDef...kwa upande wangu naona ni mapema mno kuanza kumlaumu kocha... kwann nasema hivyo...on his interviews amekuwa akiulizwa kuhusu his assessment and always amekuwa akikataa kujibu. Something which I came to understand is, he is on the very early stages of getting familia with what is happening. We all remember when he was furious when fans walipotoka uwanjani wakati mpira unaendelea. That was strange to him

But again we all know that Lallana, Firmino, benteke, milner, danny...hawa wachezaji wote they have just come out from injuries. Rotation is need especially kipindi hiki cha kuelekea xmas/new year. I was listening to keegan and he mentioned...a manager will lean more about his team after loosing

Hebu turudi uwanjani...sidhani kama kuna mcheza ana-deserve kutajwa endapo tutaulizwa who put the shift needed by J Klop style of play...who...probably lovren. Kwenye interview the guy keep asking J Klop about disallowed goal, but J Klop was not interested at all because to him that was nothing. Imagine kama hiyo incidence ingetokea kwa chelshit, maureen angesemaje...to klopp, the team lost kwasababu players didn't work hard enough
 
Last edited by a moderator:

Klopp anachotakiwa kujifunza ni kwamba, smaller teams ndiyo za kuchukulia points, anahitaji kulifanyia sana kazi hilo, Tena sana..

Games dhid ya City na Chelsea, alimchezesha Firmino kama False number 9 na it paid off big time..hii idea mpya ya Benteke, Firmino and Ibe siyo nzuri
 
I agree with you...tumpatie
Muda. He believes on training rather than recruiting lakini working rate ikiwa niya kipuuzi then, tusishangae akafanya usajili kwenye dirisha dogo
 
Klopp kazingua leo, tena sana tu, na nilisema hapa jamaa itabid ajue tuna games 5 tu kubwa, last week we struggled to beat Swansea at Anfield, jana kafa 3-0 pale Liberty Stadium dhidi ya Leicester, leo hii tunakuja kufungwa na Newcastle 2-0, inamaana kila siku tutakuwa tunastruggle kuzifunga hizi teams, and tuna WBA, Watford, Leicester na Sunderland, kwa mtindo huu tutegemee nini?

hakuna point ya kuifunga City bao 4 kama tu unakuja kupoteza dhid ya Newcastle na Crystal palace..
osokonoi wewe unaangalia mpira, hautahitaji jicho la 3 kujua kuwa Benteke, Firmino and ibe combo yao haitakuja fanya kazi..

Nakubaliana na wewe, mkuu. The coach has goofed big time kwa kweli!

No matter who the opposition is, you must deploy onto the pitch your best first XI and J Klo didn't.
 
Last edited by a moderator:
Kuna group moja ya fans wa Liverpool jana usiku nilipost hisia zangu kwamba kesho (leo) tunapoteza game kwa New Castle, jamaa wakanijia juu group lote. Mimi nilikua mmoja wa admins kuna wadau wakang'ang'ania nitolewe. Wamenitoa, please kama kuna group ipo ya Liverpool fans naomba access ni PM ntatuma namba.

Kiukweli Klopp bado ana hali tete, mi niliona tulivyostruggle kuifunga swansea nikaona hata leo hatutakua na hali nzuri.

klop hii tabia yake ya kubadilisha kikosi kila mara kitamkosti;
 
Klopp anachotakiwa kujifunza ni kwamba, smaller teams ndiyo za kuchukulia points, anahitaji kulifanyia sana kazi hilo, Tena sana..

Games dhid ya City na Chelsea, alimchezesha Firmino kama False number 9 na it paid off big time..hii idea mpya ya Benteke, Firmino and Ibe siyo nzuri

huyu benteke si type ya liver na ibe ana mchezo wa kijinga sana anapenda kukaa na mpira pasipo na sababu hawa wote ni wakutokea bench
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom