Yaan ww jiandae mou leo amestukaaaa
Haya sasa.....kick off
Dkk ya 4
Chel 1- 0 liva
Mtajuta leoooo....
Asante mou....
Mkuu ukiishiwa nguvu huwa unatumia glucose au? Nataka nikuandalie maana kichqpo cha mou leo si haba
Mmerudisha njoon sasa acheni kujificha
Shikamoo klopp...
Mi natoa pongezi mapema...
Hongereni sana
Arururururururururururururururururururururu mwaaaaaaaa!!!!! LFC oyeeeeeeeeee!!!! Surely you will never walk alone hatimaye leo mmempata wa kutembea naye arurururururururu!!!!!!!!
Ulikua unatoa updates vizuri sana, inaonekana ulishangilia kweli goli
Hahahahha nikishiwa nguvu sawa yangu ni gege&presaing 1?3 yenye vitamin CouMagic and Ben
Sisi ni watulivu kuangalia mechi mpaka mwisho kwanza
Hahahanhaaa naona hii haijakaa kinafiki ... Asante msaga sumu undugu wetu usife
Kwa kuwa wamefunga like wacha tutumie hii :thumbup::thumbup:::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
Hahahaaaa pamoja ndugu yangu
Hivi kwanini wametoa likes...?
Mkuu acha maneno sisi siyo kama nyie wa fake results
Having some problems posting pics?? Ipo na kwako pia? Ed ??
naona furaha humu. hongera sana
hahaa leo amenifurahisha sana pale aliposhangilia goli la tatu kama sijakoseaAsante....... na siyo ndogo kifupi niko so excited like klopp .....