Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

SAKHO is our best CB kwa sasa...tangu msimu umeanza hajafanya hata error moja, na ndiyo our strongest link katika back-line yetu..kama unafatilia LFC vizuri utagundua kuwa weak link kwenye backline yetu ni Skrtel...kinachotakiwa ni kutafuta another RCB wa kumpapartner Sakho..

BTW kwasasa i'd take Sakho, Smalling, Alderweireld, paulista etc, over Kompany...sidhani kama utamweka Kompany katika Top5 ya Best CB's kwa sasa kwenye EPL. Na kwa form yake ya tangu last season angekuwa anacheza kwenye team yenye average players kama wa LFC, ungekuwa humuongelei kama unavyofanya.

Mkuu, I think you are missing my point nilipotumia mfano wa Kompany.

Kwa context niliyotumia, Kompany belongs to the WC bracket - huwezi kulinganisha pedigree yake na mediocrity ya akina Smalling, Sakho, etal. While Kompany is a class act (permanent), the others are just "form players" (temporary).

It goes on to explain kwa nini PSG walimruhusu Sakho aondoke. By the way, PSG haikuwa na "average players"!

You are probably right - Sakho may be the best LFC CB at the moment as you put it but for me he's the best amongst the rotten lot...I mean ni kama yai viza lenye harufu iliyo afadhali katika mayai viza mengi yaliyochanganywa pamoja - sifa hii, however, haimwondolei sifa ya "uviza"!

I'll never vouch for Sakho unless and until....
 
article-3296897-2DF2851B00000578-923_636x485.jpg

Hongereni wakuu naona mna kocha sasa
msianze kulialia tena khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni kwa ushindi wa kwanza wa KLOPP. Wikiendi nataka mumshindilie Mourinho aendeleze malalamishi yake.

Lazima tumpige nyingi sana sijasaha msimu wa 2013 alivyotukosesha ubingwa,alishangilia utadhani anaenda heaven

Km Lfc imegeuka NEC basi mtatupiga nyingi tu..... Maana ata km shuti likigonga mwamba refa atasema goli tu!
 
Attachments

  • 1446243200888.jpg
    1446243200888.jpg
    21 KB · Views: 53
Nilipotea kidogo kutokana na kampeni hizi na nashukuru everything iliisha OK!Pia nawapongeza wote mliokuwa mnaliendesha jukwaa

In Klopp we trust!Tupo OK now
 
Mkuu, I think you are missing my point nilipotumia mfano wa Kompany.

Kwa context niliyotumia, Kompany belongs to the WC bracket - huwezi kulinganisha pedigree yake na mediocrity ya akina Smalling, Sakho, etal. While Kompany is a class act (permanent), the others are just "form players" (temporary).

It goes on to explain kwa nini PSG walimruhusu Sakho aondoke. By the way, PSG haikuwa na "average players"!

You are probably right - Sakho may be the best LFC CB at the moment as you put it but for me he's the best amongst the rotten lot...I mean ni kama yai viza lenye harufu iliyo afadhali katika mayai viza mengi yaliyochanganywa pamoja - sifa hii, however, haimwondolei sifa ya "uviza"!

I'll never vouch for Sakho unless and until....

Hakuna CB yoyote kwenye BPL ambaye ana uwezo wa kuanza mbele ya Thiago Silva wa PSG..so kutumia huo mfano kwa Sakho unakuwa hautendi haki mkuu..na Sakho alikuwa ni Captain PSG..alichokuwa anataka ni kucheza mpira, ndo maana akaondoka PSG.

Kompany ni mzuri, lakini mpaka sasa hajarudia form yake ya 2011-12..anafanya makosa mengi sana, kinachomsaidia Kompany ni kuwa MF yake ipo vizuri sana, inamsaidia kucover error nyingi sana..na wana GK mzuri pia..tofaut na Mignolet ambaye mpira ukiwapita mabeki tu, Chochote kinaweza kutokea.

LFC wanataka kumsign Howedes/subotic, hawa wanakuja kumpartner sakho, hii inaonyesha ni jinsi gan kocha anamuamini Sakho..
 
Benteke anaweza asianze leo

Firmino akaanza kama false nimber 9
 
Baada ya uchaguzi kunivuruga leo nimerudi rasmi kucheza vigororo...
Nitakuwepo hapa kwanzia mwanzo hadi mwisho...
 
Leo mashambulizi yanaongozwa na firmino. Je unazan hii ni sahihi ukiangalia na ugum wa mechi yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom