Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Namuonea sana huruma Klopp kwani hiki kikosi alichorithi - thanks to the freaking Yankees FSG - kinaweza kikamuweka pabaya siku si nyingi. Soon watu wataanza kufanya comparison vs BR.

For example, nilimsikiliza Pochettino wa Spurs kwenye post-match interview baada ya ile T.Spurs 0-0 Liverpool game......alidai eti hakuna kipya alichokiona kwenye ile pressing game ya Liverpool siku ile kwa vile hata BR alii-deploy kwenye ile mechi yetu vs Arsenal, etc, etc.

Tatizo ambalo wengi tumekuwa tukililia ni kukosena kwa world class centrebacks na DMs. Timu yoyote yenye ambition ya kubeba mataji ni lazima ijengwe kutokea nyuma. Ushahidi ni Maureen anavyopata shida pale darajani kipindi hiki...kule nyuma hakuna kitu kabisa and he's paying a big price!

So, tusitarajie muujiza wowote chini ya Klopp kwa kutegemea ile backline ya akina Skrtel & Sakho. Huwa naona watu wanampamba sana Sakho lakini yule siyo Kompany na sisi tunahitaji Kompany wetu ili tuseme YES!.

Seriously, inabidi Klopp aingie dukani kwenye dirisha dogo ili kwa GHARAMA YOYOTE ampate walau Kompany-esque mmoja hivi. Advantage aliyo nayo Klopp vs BR ni kuwa ana uwezo wa ku-attract WC stars.

Naomba Mungu Klopp aguswe (kama mimi) na wazo la kumuuza Sturridge - amekuwa liability kubwa kwetu kwa sasa, lakini nina uhakika kuna timu fulani crazy zinaweza ku-gamble na kumnunua kwa hela nzuri tu. Kuendelea kusubiri Sturridge awe fully fit si tofauti sana na kuisubiri siku ya kiama!

SAKHO is our best CB kwa sasa...tangu msimu umeanza hajafanya hata error moja, na ndiyo our strongest link katika back-line yetu..kama unafatilia LFC vizuri utagundua kuwa weak link kwenye backline yetu ni Skrtel...kinachotakiwa ni kutafuta another RCB wa kumpapartner Sakho..

BTW kwasasa i'd take Sakho, Smalling, Alderweireld, paulista etc, over Kompany...sidhani kama utamweka Kompany katika Top5 ya Best CB's kwa sasa kwenye EPL. Na kwa form yake ya tangu last season angekuwa anacheza kwenye team yenye average players kama wa LFC, ungekuwa humuongelei kama unavyofanya.
 
SAKHO is our best CB kwa sasa...tangu msimu umeanza hajafanya hata error moja, na ndiyo our strongest link katika back-line yetu..kama unafatilia LFC vizuri utagundua kuwa weak link kwenye backline yetu ni Skrtel...kinachotakiwa ni kutafuta another RCB wa kumpapartner Sakho..

BTW kwasasa i'd take Sakho, Smalling, Alderweireld, paulista etc, over Kompany...sidhani kama utamweka Kompany katika Top5 ya Best CB's kwa sasa kwenye EPL. Na kwa form yake ya tangu last season angekuwa anacheza kwenye team yenye average players kama wa LFC, ungekuwa humuongelei kama unavyofanya.

Nakubaliana nawe Kompany ameshachoka kuanzia last season but jamaa hakumaanisha mumpate Kompany but mtafute mtu anayefanana nae
 
LIVERPOOL AND KLOPP, a Marriage made in heaven
By S.Ahmed kd,,

Liverpool fans have been on the wrong receiving end of opposition?s fans jibes and digs. Rival supporters taunt and shove us with tedious and stingy clich?s. ??Liverpool are living their past?? , ??kopites are deluded to think their team belongs to elites?? are such well-worn scripts we have been rudely served by rivals. To them, we are feeding off the relic

Our epl barren spell sway them to say that it?s wishful thinking for liverpool to even think of a tittle, it?s a far fetched likelihood. Financially outmuscled by our rivals, we stand no chance to defy the odds. That?s what they say, but who are liverpool the fans and liverpool the club?

Liverpool the fans and liverpool the club have always been at their best when they aggressively bully the naysayers and the deriders, kopites passion and defiant die hard spirit should be the ruling emotion not the one of resignation and surrendering

We may had wrong owners and managers in the past, signed wrong players but that doesn?t mean we are forever dead and buried, even if we are dead,there is no ruling out the rising from the dead. We are not going to accept our fate without straining and busting our guts

Even our own legends undermine us and claim we are no longer big club and wont match the elites, whilst their claims might have a merit and well placed justifications to back them, they are shrugging off what aspirations could do for a football club especially the one that had its glittering successes driven by fans emotions. Yes we haven?t won the epl tittle for 25 years and we haven?t met the modern game barometer of being consistent ucl side, we are outmuscled financially by our rivals, yes these are facts, but we can always punch above our weights, that?s what typifies liverpool a club.

Liverpool success over decades were not boiled down to quality of our teams, the fans passion played decisive role for our success. We never won with teams of super stars, we did it with players who absorbed the fans emotions and translated them in their play. Despite having extraordinary successes and being one of the most decorated clubs in the world, Liverpool never boasted of downright elite players. Many of our greatest players were never thought of highly outside Liverpool. But what made others envious of us, was the connection between the team and fans on the pitch. No team in the world had that.

When liverpool went to ucl knockout stages with the likes of nunez, traore,biscan,josemi,baros and pongole, who had them down as tittle contenders among elite clubs? the answer is no one beyond the outrageously optimistic, but we upset the odd, we defied the given and won the tittle thanks to our resilience and emotions. It?s emotion that won us that tittle. It wasn?t the squad strength.

Pundits and fans alike never saw the 2013/14 tittle surge coming, and after embarrassing loss to hull in December that year, it was against all the odds for Liverpool to even be in top 4, let alone taking the epl fight down the wire. That team forgot the facts, spurned the finance and put history one side, they were on the brink of blazing glory. it was emotions driving the team. Players were playing with pride, they could run through the brick wall for the team.

It is no coincidence that our most successful spells in last decade were derived by teams that had passion in their play. It was passion that propelled Liverpool to the pinnacle of European football from 2005-2009.When we lost it through departure of players and manager,Liverpool were gradually stripped off their identity.Anfield was morphed into apathetic and dispirited place, so much for the fans rattling cheers in the stadium, it was replaced by gloom. We fell from the grace.


More than anything,Liverpool needed a man to restore club?s emotion and fight. Someone who could rally the troop to go to a war and pull off a rampage killing. they needed to believe that they could always go extra mile and stop at nothing. They needed someone who would reinvigorate and bolster the connection between fans and players, and In Klopp, they are married themselves to that man who will do just that. He did it before with Mainz and Dortmund and it is very much in his ability to do it here. His passionate approach is highly infectious, it will induce to his players and to fans also who need to believe again.
 
Hongereni kwa ushindi wa kwanza wa KLOPP. Wikiendi nataka mumshindilie Mourinho aendeleze malalamishi yake.

Lazima tumpige nyingi sana sijasaha msimu wa 2013 alivyotukosesha ubingwa,alishangilia utadhani anaenda heaven
 
WATU MMEIONA SHOW YA FIRMINO?????


Hahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!
 
And Teixeira pia...hope huu ndiyo mwanzo wake wa kushine...HUGE TALENT
 
Dogo Randali was pretty decent pia...


Huuuuuuuuge standing "O" kutoka kwa fans wakat Branaghan anatoka, he deserved it, dogo yupo LFC tangu ana miaka 5..and he played well too..
 
Firmino atakuwa hajaanza English Course nadhani, Manake leo kapewa MOTM na skysports, akataka kuirudisha kwa reporter, reporter akamwambia "no its yours, enjoy"...hahahahahah


Ila ni good kuona ameanza kusettling in very well..HUGE PLAYER FOR US.
 
Klopp saying Benteke will be available for chelsea..Sturridge bado
 
Get in
ImageUploadedByJamiiForums1446076044.146734.jpg
 
  • Bogdan kwa game mbili alizocheza, namuona ni mzuri kuliko Mignolet.
  • Ibe akipewa nafasi kama alivyopewa Raheem atafanya vizuri kuliko
  • Upande wangu bado sijamkubali Moreno, naona Jose akiwa fit ni mzuri kuliko.
  • Pengo na Johnson halionekani.
  • Bado nafikiria Captain akirudi sijui atachukua nafasi ya nani.
  • Kwa kiwango cha jana cha Teixera, hivi kwa nini walimnunua Origi?
 
  • Bogdan kwa game mbili alizocheza, namuona ni mzuri kuliko Mignolet.
  • Ibe akipewa nafasi kama alivyopewa Raheem atafanya vizuri kuliko
  • Upande wangu bado sijamkubali Moreno, naona Jose akiwa fit ni mzuri kuliko.
  • Pengo na Johnson halionekani.
  • Bado nafikiria Captain akirudi sijui atachukua nafasi ya nani.
  • Kwa kiwango cha jana cha Teixera, hivi kwa nini walimnunua Origi?

Lol, Jose???? He's fit and Klopp anamtumia Connor Randali (academy) over him..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom