Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mirror are saying kuna 2 EPL players who are ready to come out as gays, and mmoja wapo ni English player...

Hivi unakuwaje gay au unacheza mchezo wa REAL MEN??? Mambo mengine bhana..rumours ni kwamba one of them players ni Micah Richards (how?) jamaa ni miraba minne yule, pande la mtu..sema kwa majeruhi nae yule ni noma..Dah..ila gay footballers should be banned, wanautia aibu mchezo wa kiume, football (soccer) wanacheza watu wa SHOKA..
 
Mirror are saying kuna 2 EPL players who are ready to come out as gays, and mmoja wapo ni English player...

Hivi unakuwaje gay au unacheza mchezo wa REAL MEN??? Mambo mengine bhana..rumours ni kwamba one of them players ni Micah Richards (how?) jamaa ni miraba minne yule, pande la mtu..sema kwa majeruhi nae yule ni noma..

Yeye ndiyo anaingiliwa au anaingilia wenzake kinyume na maumbile

Dah..ila gay footballers should be banned, wanautia aibu mchezo wa kiume, football (soccer) wanacheza watu wa SHOKA..

Itawapa ugumu sana FA
 
Namuonea sana huruma Klopp kwani hiki kikosi alichorithi - thanks to the freaking Yankees FSG - kinaweza kikamuweka pabaya siku si nyingi. Soon watu wataanza kufanya comparison vs BR.

For example, nilimsikiliza Pochettino wa Spurs kwenye post-match interview baada ya ile T.Spurs 0-0 Liverpool game......alidai eti hakuna kipya alichokiona kwenye ile pressing game ya Liverpool siku ile kwa vile hata BR alii-deploy kwenye ile mechi yetu vs Arsenal, etc, etc.

Tatizo ambalo wengi tumekuwa tukililia ni kukosena kwa world class centrebacks na DMs. Timu yoyote yenye ambition ya kubeba mataji ni lazima ijengwe kutokea nyuma. Ushahidi ni Maureen anavyopata shida pale darajani kipindi hiki...kule nyuma hakuna kitu kabisa and he's paying a big price!

So, tusitarajie muujiza wowote chini ya Klopp kwa kutegemea ile backline ya akina Skrtel & Sakho. Huwa naona watu wanampamba sana Sakho lakini yule siyo Kompany na sisi tunahitaji Kompany wetu ili tuseme YES!.

Seriously, inabidi Klopp aingie dukani kwenye dirisha dogo ili kwa GHARAMA YOYOTE ampate walau Kompany-esque mmoja hivi. Advantage aliyo nayo Klopp vs BR ni kuwa ana uwezo wa ku-attract WC stars.

Naomba Mungu Klopp aguswe (kama mimi) na wazo la kumuuza Sturridge - amekuwa liability kubwa kwetu kwa sasa, lakini nina uhakika kuna timu fulani crazy zinaweza ku-gamble na kumnunua kwa hela nzuri tu. Kuendelea kusubiri Sturridge awe fully fit si tofauti sana na kuisubiri siku ya kiama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom