MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
I'd take £5m for sturridge to be honest..jamaa anakera sana..muscles problems zimeisha baada ya ile surgery, sahv ameanza na knee problems za kijinga, jamaa anaweza akapata majeruh hata akiwa amelala..
Ubishoo mwingi sana, mchezaj ukishakuwa injury prone, hushauriwi "kulala" na mwanamke mara kwa mara, asa yule mshikaji na ubishoo wake ule sidhan kama anaweza, Sanchez broke up with his GF coz alikuwa anaamini "kulala lala" na mwanamke ni sababu kubwa sana ya kupata majeruhi..Cr7 anapiga girls lakin ana muda mkubwa sana wa mazoezi, asa yule mrembo wa kutoboa masikio, na sahiv katoboa pua sijui kama anayaweza hayo.
Sidhan kama atalast kwa klopp...i can see Auba taking his place.