Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
sio rahisi hivyoNdiyo maana tutashinda 4 ikiwa nyepesi tutashinda 7
sio rahisi hivyoNdiyo maana tutashinda 4 ikiwa nyepesi tutashinda 7
Kumbuka Man City walipigwa hapo goli nne kwa moja!
Am happy with the draw...considering the injuries we have.
Loserfools waliwapiga Spurs 3-0 last season. Sijui unasemaje juu ya hili?!?
Is a draw a sign of improvement or a dip?
jana Klopp ilim-bidi aanze na striker chaguo la NNE, ambaye ni ORIGI,
Sturridge, Ings, Benteke, Firmino, Gomez na Henderson wote ni majeruhi..
Alikuwa na siku 3 tu za kutrain na Team..
na kwa kipind hiki Spurs wapo kwenye form kuliko LFC,
Na Mwisho, hii ni Game yake ya kwanza kama LFC manager na katika BPL..
so sijaelewa point yako bado.
jana Klopp ilim-bidi aanze na striker chaguo la NNE, ambaye ni ORIGI, .
Sturridge, Ings, Benteke, Firmino, Gomez na Henderson wote ni majeruhi..
Alikuwa na siku 3 tu za kutrain na Team..
na kwa kipind hiki Spurs wapo kwenye form kuliko LFC, .
Na Mwisho, hii ni Game yake ya kwanza kama LFC manager na katika BPL...
so sijaelewa point yako bado.
Sasa unalalamika ama?
Kumbe! Kwa hiyo anahitaji msimu mzima kutrain ili timu ipate max. points?
Oh! Kumbe timu ikiwa form zaidi ya Loserfool ni halali kwa Loserfool kutopata maximum points? Lakini siyo timu zingine siyo?
Oh! Kumbe ilikuwa game yake ya kwanza! Kwahiyo LvG alivyofungwa game yake ya kwanza dhidi ya Swansea suala la kuwa ni game yake ya kwanza haliku-apply eh?!?
Huwezi kuelewa kwani umeisoma comment kwa macho ya kinazi...
Mimi sijaongelea kwa sababu ya Klopp...nimeongelea Loserfool kama timu...mwaka jana mlicheza na Spurs kwao na kuwafunga 3-0...safari hii mmetoka droo na kuna mLoserfool anasema amefurahia matokeo!
Labda kama unataka kusema timu ya mwaka jana was better than this one.
Tangu Klopp Atue LFC, we've been LINKED with Gundogan, Neves, Karius, Horn, Leno and HOWEDES!!!!!!!
DONT TELL ME NOT TO GET EXCITED
Asa ndo umeandika nini hapo?
Bobby firminooo, will be our new suarez...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂