Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Atukuzwe Mungu wa mbinguni, na duniani iwepo amani, na Anfield yapatikane makombe
 
Kipindi tunafurahia kuondoka kwa BR, tukumbuke tuna kimeo kingine kimebaki kinaitwa Ian Ayre bila kuwasahau hawa Wamarekani wetu..
 
Habari njema mkuu Janjaweed, Mr. Wise, MosDef, Eddy, Malafyale kuna habari nzuri huku

Mkuu appetite imerudi sasa....thanks to God imekua mapema, maana anayeongoza ligi hayuko mbali na top4 gap si kubwa.
 
2D16467300000578-0-Rodgers_and_Klopp_shake_hands_before_Borussia_Dortmund_s_friendl-a-25_1444074.jpg

Ipatie Caption..........................................
 
Uyu Rogders ni kocha mchovu mwenye bahati sana kufundisha team kama LFC, sasa atarudi kwenye mid-table teams
 
Kopites, let us come out of our closets now ....ha ha ha ha daaaaah a brave new red world indeed, lead by a manager who has the tactical acumen, the charisma, the fear factor, the pull to attract better talents from all angles and the ball to stand up and change things in time, I can't wait to see the new anfield atmosphere under Jurgen Klopp!!
 
Am very happy and excited that, FSG didn't wait till December and the gap is not too big....but ingekua poa tungeanza na uyu mtu Klopp msimu ulipoanza tu. If we won't perform still itakua b'se of FSG, they took too long, BR was supposed to be sacked just after Stoke defeat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom