masaule120
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 176
- 33
Tumemvumilia sana huyu bora asepe.
kocha kafukuzwa huku
Teh teh Kama mlivyomchinja Nzi Leo nitamualika DonDonald aje na Drink zake Sema kwa timu Rogers ametujazia wachezaji wabovu Huyo fundi atayekuja atapata Tabu aombe January ifike awauze kwa mafungu.Teh teh teh teh utachinja ng'ombe mkuu. Dua zako zimesikilizwa
I prepare my feast at home
klopp na LFC tayari makubaliano wanasubiri timu za club zikienda International! Mie na kumchukia Rogers siipendi tufungwe aende tujisogeze mpaka January sababu hii timu ni mbovu wenzetu huko wanajiona Wana timu na wanapigwa ubaya!
Habari njema mkuu Janjaweed, Mr. Wise, MosDef, Eddy, Malafyale kuna habari nzuri huku
Mkuu yaani hapa sijui nijielezeaje hali ya furaha niliyo nayo
Jamani niombeeni tu kesho nifike salama!Nakunywa sana pombe hapa club kwa furaha ya kufkuzwa huyu mpuuzi BR
Mkuu nanyie mfukuzeni yule jamaa aliyemropokea evaHahahahaaaa Mkuu sipati picha.... Nilisema sn huyu kocha hawezi jamani...... Teh teh teh ata hivyo mlimvumilia sn.
Saafi sana. Hata hivyo FSG wana subira sana. Walipaswa kumfukuza huyu jamaa tangu mwisho wa msimu uliopita
Hahahahaaaa Mkuu sipati picha.... Nilisema sn huyu kocha hawezi jamani...... Teh teh teh ata hivyo mlimvumilia sn.