masaule120
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 176
- 33
Jurgen Klopp kashapanda ndege
Yakweli ayo mkuu?
Jurgen Klopp kashapanda ndege
Kwa hii form yetu tukiambulia hata pointi 2 is just a miracle
Everton - away
Spurs - away
Soton - home
Chelsea - away
Crystal - home
Man city - away
Mkuu, Brendan aanze kupaki mabegi tu.
Hawezi vuka kesho,100% tunapigwa na LukakuKwa ratiba hiyo haponi
Ulielewa swali lakini chifu? Swali linahitaji jibu zaidi ya ulilolitoa 😂😂
Mkuu, Brendan aanze kupaki mabegi tu.
Here we go again. Liverpool Are unbeaten in their last 9 PL meetings with Everton.
Tehteh Kama Ozil macho huko Emirates Kawatolea macho.
klopp na LFC tayari makubaliano wanasubiri timu za club zikienda International! Mie na kumchukia Rogers siipendi tufungwe aende tujisogeze mpaka January sababu hii timu ni mbovu wenzetu huko wanajiona Wana timu na wanapigwa ubaya!