Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sielewi why Lovren anacheza mbele ya Sakho!
Kwa kweli hii siwezi kuilewa kamwe
 
Mnacheza kama vile hamna midfielders, kila mpira unakuja katikati unaangukia miguuni mwa wachezaji wa Man Utd. Mnawahitaji kina Coutinho na Henderson upesi sana. Henderson atarudi lini toka hospitali? Inaelekea mnahitaji zaidi ya one midfielders wenye uwezo wa at least kumiliki na kuchezesha safu ya ushambuliaji vizuri. Mna bahati Manchester United na wao sio wazuri, ama sivyo mngekuwa nyuma
 
Maendeleo hapa afukuzwe BR!
Dakika 45 za kwanza HATA shambulizi moja la maana,muda wote tunaokoa
 
Ni 442 kuna benteke na Ings mbele

Ings anacheza kama winger huyu ni striker na firmino anacheza ka winger typical no 10 we have 5 men in midfield na 1 striker benteke hii game tuna pigwa na ijayo piaa kama huyo br hajifunzi

Utachezaje na man utd na kumuachia carrick enough room to operate kwenye midfield?? Halafu mtu wa kuwapa pressure unamuweka pembeni??

Anamtoa firmino ana mweka ibe kwelii?? Hatuna creative mind kwenye timu
 
Malafyale haya majogoo yameloweshwa maji ya baridi ya Tukuyu au makambako nini?
 
To b honest Liverpool ni timu mbovu mbovu, mbovu kiasi inakaribia kunuka. Wachezaji wa Aina ya Benteke na Ings hawana hadhi ya kuchezea clabu kubwa kama Liverpool. Timu inacheza bila mipango, wachezaji hawaelewani, hakuna organize yoyote pale. Yaani hata mumlete kocha wa dunia kwa wachezaji hawa ataonekana hafai.

Kwa kweli liverpool imebaki club kubwa Ila ina timu ya kawaida sana.
 
Gomez ni mchezaji wa kuichezea Norwich and are alikes sio Liverpool
Ana very poor judgement!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom