Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Tukutaneni jioni.
Hata mkikimbia kama ile siku update zote mtazikuta hapa na painkiller mbalimbal kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa.
Usije ukakimbia wewe tu
Tukutaneni jioni.
Hata mkikimbia kama ile siku update zote mtazikuta hapa na painkiller mbalimbal kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa.
Usije ukakimbia wewe tu
Mimi sikimbij ila nitakuja kukuletea painkiller
Shemeji anakuita haoni chai mezani.......
Mami najua wew ndio umesema nipo huku.
Hupendagi kabisa niwape vijembe majogoi
Tim sherwood ameshangaa hata yeye ndo maana akaiita no brainer option na illori akifanya vizuri anatoa mzigo, kuna taarifa nimeziona kuwa markovic loan deal imekufa baada ya kuumia ligament amerudi amerudi melwood anauguza jeraha tu
Kuna sehemu nilipita nikaona anamtetea kuwa ile ni 'it just a mistake that any player can make'. Hivyo anatakiwa kuishi na huo mzigo wa kosa as motivation, nikajipa matumaini tu kuwa i can't see Sakho on pitch again and again as a first choice
Anataka kuonyesha kuwa alikuwa right kuiforce club itoe £20m kwa ajili ya Lovren, jamaa mwenyewe kila siku anamuangusha...
Naona wale wote waliyokuja liveepool kutokana na tansfer committee na hawakuwa chaguo la rogers wanaanza kupata shida
View attachment 285961hapo jee?
Tukutaneni jioni.
Hata mkikimbia kama ile siku update zote mtazikuta hapa na painkiller mbalimbal kwa ajili ya watakaokuwa wamezidiwa.
hahahahaaa, we mdada mkorofi sana.
hahahahaaa, we mdada mkorofi sana.
jamani mwenzenu hamu sina kabisaaaaaa.....tumbo joto sijui kama tutawafunga man utd