Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Siku mtu ukijiiamini mnashinda game ndio siku mnafungwa inachukiza sana jamaa kila anapopewa muda anapewa na muda wa kuikandamiza timu Rogers sioni sababu ya Ings na Origi kukaa bench kwao ni sawa wasingekuwepo tu alafu ndio una peleka zmarkovic Loan? Si Bora wing anayeshambulia abaki peleka Ings au Origi au Ibe then u lete DM kwa sasa game ukiisha Huyu Rogers Leo akienda Ofisi ya Wenye timu kutaka pesa Wenye timu wanaiite Mie nikatafute mkuki Wenye sumu nimkandamize nao Brendan Rogers nikapumzike mie.
 
Mignolet,Clyne ,Skrtel,Llori,Sakho Lucas na Can then Coutinho,Firminho/Milner Brnteke na Ings Mbele anashindwa vipi kupanga hivi mpaka Lovren acheze? sakho na Llori wanaonewa tu.

Wenzetu na nyie mnapigwa ubaya na hawa jamaa nyumbani kwenu. Ligi itakuwa inakaribia kuanza kutoa sura baada ya international games.
 
Vijogooo wana mdondo! Wananyolewa kwao kweupe, mpaka sasa Chelsea nao wameukalia!
 
Duh!
Hatari sana, mlipiga kelele ooooh, arsenal kapigwa 2 tena nyumbani, haiya, kuleni zenu hizo!
Naona ule wimbo wa BR OUT unaanza mapemaaaaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom