Bro haya mambo ukiongea humu kuna watu wanaona kama una agenda na rodgers au huipendi team, Markovic katoka league nyepes Ureno na kipind anatoka ureno ule msimu alikuwa katika Top 20 ya Wingers bora wa chini ya miaka 21 Europe, kaja UK kwenye league ngumu, akawa anachezeshwa kama LWB/RWB, katika nafas ambazo hajawah kucheza tangu azaliwe, leo hii tunaambiwa ni m-bovu, so tunampa nafas ya kudevelop cha kushangaza tunampeleka Turkey!!! Asa atadevelop vipi kwenye league ya kipuuzi kama ile???
Lovren ndo alikuwa mchezaji m-bovu last season lakin kapewa 2nd chance, Joe Allen for the last 3 years hakuna chochote alichokifanya kwenye team zaid ya ile Miss dhid ya Everton lakin bado tunae, Lallana yule mshenz ndo hakuna hata anachokifanya kwenye team yetu yet kila siku yupo tu kwenye team sheet, hiyo mizoga yote imesajiliwa na Rodgers ndo maana anaipa nafasi, Ibe na lallana hawana uwezo kama wa Markovic, ibe na lallana ndo walitakiwa waondoke kwa mkopo, Marko na Tex wabaki...unaweza ukasema Ibe bado mdogo sana na anajifunza coz hata sterling alianzia huku huku, but lallana ana miaka 27 sahiv ana kipi cha kujifunza???
Mpaka sasa hakuna mchezaji hata mmoja ambaye kasajiliwa na rogders mwenyewe ambaye kafanikiwa kwenye team, kuanzia Allen, Aspas, Luis Alberto, Borini, etc..lakin kila kukicha anawatoa wachezaj waliosajiliwa na committe kwa mkopo ili kuprove a point, Origi yule ana haja gan ya kuwepo LFC? Markovic unampeleka Turkey akaimprove?? Washenz kama kina Lallana unawaacha kwenye team???
Lucas kila msimu huwa anazinguliwa, safar hii ilikuwa aende Besiktas, lakin wanambakiza kisa Henderson na Allen wote majeruh..and how can you rate those 2 shit players mbele ya Lucas??
Shabiki yoyote yule wa LFC aje hapa na aniambie kama alim-miss Henderson kwenye game yetu dhidi ya Arsenal..