Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez, Lucas, Can, Milner, Coutinho, Firmino, Benteke..
FORMATION: 4-3-3
Rogers anatakiwa amuweke Sakho au Moreno kushoto sasa Sakho hata Bench hayupo? Kwa Mpira wa Arsenal Yule Gomez atapata Tabu kushoto na asimuanzishe Lallana hii game tukishinda itatupa matumaini ya kujiamini sana game zijazo Leo ndio tutajua Mengi. LFC YNWA!
Apange team yake apendayo sababu za kufukuzwa ziwe karibu mii anakera natamani tungepoteza hata hizo tulizo shinda
Mkuu@MosDef,
Naomba kuuliza tafadhali...
hivi huyu BR huwa anafikiria kwa kutumia kalio au ubongo kama wanadamu wengine?
Huyo hapo sio LUCAS LEIVA?
Si anataka kumuuza huyo?
Just take a look,
kipenzi chake Joe Allen Ni mgonjwa,Henderson Ni mgonjwa PIA....
Halafu huna LUCAS kwenye timu.....what are you expecting?
Hata huyo FIRMINO kapata starting spot kwa vile LALLANA Ni mgonjwa...
BR ana mauzauza Sana...
anyway,All the best kwa LFC yangu...japokuwa basing on our recent performances...
taking a single point from there tonight will be a miracle....
YNWA.
Shem darling.........haya maneno yanatoka moyoni kweli?
Ushindi leo ni muhimu sana ila si haba kupata pointi 1 .. Sipendi kuona tunapoteza kabisa kwa asernal maana nitashindwa kuwa huru.....
YNWA
Ushindi leo ni muhimu sana ila si haba kupata pointi 1 .. Sipendi kuona tunapoteza kabisa kwa asernal maana nitashindwa kuwa huru.....
YNWA
We acha mkuu inauma sana hasa big mech kama hizi
Ushindi leo ni muhimu sana ila si haba kupata pointi 1 .. Sipendi kuona tunapoteza kabisa kwa asernal maana nitashindwa kuwa huru.....
YNWA
Sasa Mbona mmesign out mnaoogopa? Hapana msiogope bana......
tanesco jamani
Just interviewed with sky sport...Lucas is our best DM; BR
Sasa Mbona mmesign out mnaoogopa? Hapana msiogope bana......