Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Well, it started like this...

1. Cou Vs Bolton
ImageUploadedByJamiiForums1439151231.301652.jpg

2. Cou Vs Southampton
ImageUploadedByJamiiForums1439151286.028629.jpg

3. Cou Vs Man City
ImageUploadedByJamiiForums1439151332.097606.jpg

4. Cou Vs Stoke City (TODAAAAAAAAAAAY)
View attachment 274791
 
STOKE 0-1 LIVERPOOL - MTIZAMO WANGU

LFC tumeshinda lakini hatukustahili kutokana na mchezo mbaya tuliocheza – kwa mpenzi yeyote wa LFC ilikuwa ni mechi ambayo naweza kusema ilikuwa “very disgusting to watch”. Kilichoweza kutusaidia kushinda ni ile kitu inaitwa “one moment of magic” ambayo inachangiwa na uwepo wa wachezaji special kwenye timu. Lakini mchango wa utaalamu wa mwalimu kwenye mchezo wa leo ulikuwa ni zero. Zilch!

Udhaifu

Timu ilikuwa inacheza kama vile haina malengo: slow, no runners, no passion, no pressing, no tenacity, unnecessary forward punts (long balls) by Mignolet, predictable passing, totally pedestrian.

Backline haikuwa na protection kabisa, ndio maana kila Stoke wakipia long balls zilizokuwa zinadondokea mbele au ndani ya box la LFC zilikuwa zinawapa shida sana akina Skrtel.

Benteke hakupata huduma za kutosha na alikuwa isolated muda mwingi kiasi kwamba ikabidi wakati mwingine aanze kucheza deeper kidogo, kitu ambacho si sahihi kama target man ni mmoja tu kwani mashambulizi yanakufa!

Uzuri

Ibe aendelee kuwemo kwenye starting XI, ni dhahiri anaweza kuwa ni creative outlet nyingine tegemeo ukiwaondoa Coutinho na Firmino. Anahitaji improvement kwenye final ball lakini mtoto yupo vizuri.

Subs ambazo alifanya BR kipindi cha pili, ingawa zilikuja zimechelewa sana, kwa kiasi fulani zilibadili complexion ya mchezo na timu ikaanza kuwa more offensive, especially kuingia kwa Can ambaye aliongeza mobility na defensive stability pale kati. Na Firmino alipoingia niliona cheche zake kwa mbali – backline ya Stoke ikajikuta busier all of a sudden.

Maoni yangu

Kilio cha wengi wetu humu siku zote kimekuwa umuhimu wa kuwa na anchor-man pale kati ili kuwa-protect akina Skrtel. Kama BR anaona Lucas hatoshi basi amchezeshe hata kiraka wetu Can. Vinginevyo, tukicheza na timu yoyote iliyopo top 6, tunaweza kujikuta tunabugizwa kapu la mabao!

Unnecessary long balls za Mignolet zikome kwani ni kama kumpasia adui mpira bure.

Benteke hatakiwi kuondoka eneo lake la kazi – i.e asiende zaidi ya 6 yards nje ya opposition box. Kinachohitajika sasa ni kuhakikisha Firmino anacheza naye mbele kwenye 2-striker role lakini yeye (Firmino) awe ana-drift back and forth in and around the box for up to 12 yards or thereabouts.

Where has our pressing gone? Where is our mobility? Where is our accustomed pace? Hizi ni ingedients muhimu na ndiyo identity yetu lakini sikuona hata chembe yake leo vs Stoke – timu iliyocheza leo “haikuwa LFC” in my view. BR anahitajika kurudisha ID hii haraka kama kweli anataka kuendelea kuwa Anfield beyond January 2016.

In my opinion, timu inayotakiwa kuanza siku zote ni hii….Mignolet, Clyne, Gomez, Lovren/Sakho, Skrtel, Can, Henderson/Milner, Ibe, Firmino, Coutinho & Benteke.

Am sure hii proposed line-up yangu inaongea mengi kuliko hata niliyoyaandika hapo juu.

Nilisema tangu mwanzo, kuwa Benteke atakuwa isolated kama LALLANA akianza, brendan is doing everything he can to accomodate that fraud, na ubaya zaid anamweka kwenye number/eneo ambalo siyo lake kabisa (left wing) lallana ni CAM, na pale kwenye CAM yupo mwenyewe Cou, the best thing is, ni kwamba LALLANA atupishe kwnye First ELEVEN tbh..

Na kama BR na wenzake wanataka kuendelea kucheza 4-2-3-1, Lallana and Ibe MUST BE DROPPED for Bobby and Can..tunaweza tukaswitch kwenye 4-3-3, but coutinho will ne wasted kwenye flanks..so kama ni 4-2-3-1 kabla DS hajarud, i'd go for CAN and MILNER in the middle, Henderson, Cou and Firmino behind Benteke..
 
>Real Madrid have Bale, Benzem,C.Ronaldo
(BBC)

>>Barca have Messi, Suarez, Neymar (MSN)

>>Man Utd have Bastian, Memphis, Wayne(BMW)

>>Arsenal have Carzola, Ozil, Oxlade,Laurent K.
(COOL)

>>Chelsea have Falcao, Oscar, Obi, Loic (FOOL)

Liverpool have Lalana, Marcovic, Firmino, Allen and Origi (LMFAO).....hahahaaa

C.c Bavaria

LMFAO teh teh
 
PAUL JOYCE saying Lucas aliachwa kwenye kikosi kutokana na "FALL OUT" iliyotokea kati ya Lucas na Club (naamini ni Rodgers), ambayo inaweza ikapelekea akaondoka LFC..
 
Liverpool played well but still I was worried...we didnt look we had enough infront-we held up the play well, defended well but our attacking play was really shit.

I think that is because of the formation, we had way too many holding miedfielders- we have to find a way of bringing Emre Can and Firminho in the starting line-up and free up Milner, Countinho and Ibe in the attack.

Whats your proposed Liverpool line-up?

Mignolet, Clyne, Sakho, Sktrel, Moreno, Can, Henderson, Firminho/Ibe, Coutinho, Milner, Benteke.

I still think Sakho is better than Lovren and Lallana hasnt improved a bit.

But sidhani kama Rodgers anaweza kuwa bold and bench his favourite players eg Lovren, Lallana etc- tena subiri Allen apone, he will walk straight into the line-up. Rodgers has his favourite players and his unfavourite eg Lucas 🙁
 
Timu naona ni nzuri ila bado ninawasiwasi kama itaweza kuleta ushindani hasa kwenye game za europa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom