mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
sijaielewa hiii sentensi
Hizo signings zote nizaBR, kama timu ikifanya vibaya njia yake itakuwa nyeupe kufukuzwa, last season BR alikuwa niwakum-sack immediately baada ya game na Stoke ila kilichombakiza mpaka sasa ni kuwa signings hazikuwa zake na ndo maana hata ile committee ilivunjwa.
Kwa maneno hayo ya Ayre, all BR wanted this season amepata sasa kazi ni kwake ili haukumiwe kwa haki (signings zake ndo zitakazo mfelisha)
Kwa ratiba ilivyo let's hope these guys click as early as possible otherwise fate is awaiting