Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Benteke afadhali ya balotel anacheza mpila

Wewe benteke mtu bwana tumpe nafasi tu pale jana kuna vitu vichache tu ndio vilikosekana na BR akafanya mabadiliko ndio mpaka sasa tunafurai..

Timu nzuri sana inaitaji kujuana na kuzoeana ambapo ni mechi 2 tu.
 
Jana nimefurahi 3point ila kuna kitu tunge draw lawama zingekuwa nyingi, binafsi Milner sijapenda kucheza kati Jana kati ndio sababu ya Stoke kucheza mpira tulikuwa Middle hazipo kwenye Game, jengine Milner japo anataka kucheza kati haimaanishi manager amsikilize amuweke kati peleka Milner wing ya kushoto Game ilibadilika sababu ya Emre Can ndio kati kafanya kuwe kugumu kwa Stoke na kumpa nafasi Coutinho kusogea, Jana 3 Players wamenifurahisha 1, Clyne 2 Benteke na Lovren Jana Coutinho sababu ya Goli hakuwa kwenye game naye najua ndio kwanza Game ya kwanza, Brendan Rogers naye awafahamishe Players namna ya kumchezesha Benteke sio kupiga mpira juu Benteke chini anacheza juu mtu unapiga inapohitajika kumpigia cross zaidi ya hapo Game haikuwa mbaya point 3 muhimu ila Middle kufanyiwe kazi hasa DMiddle. LFC YNWA!
 
Kwa kheri lucas leiva, kapishana kauli na MKUNA PUA BR, ataondolew kama Dagger
 
wazee wa anfield tuwe wakweli, wachezaji wetu wote ni HATARI anayetufelisha hapa ni Rogers, ni maskini wa mbinu
 
balo hakuwa mbaya kiivo, ni BR ambaye hajui kumtumia mchezaji vizuri na tuombe asiyarudie kwa benteke, tunahitaji KOCHA
 
coutinho hizi siku hizi ni Kama mchezaji basketball kupiga 3 tehteh Lallana Mie ananiuzi anajipiga chenga mwenyewe Yule Lallana enzi za Makelele angegongwa moja Angekaa nje season mbili.

Hahahahahahahahahah!!!! Lallana ataanza kula mkeka Sahiv, Firmino huyooooo anakuja taratibuu..
 
Hata captain wetu cyo mzur....jamaa bhac tu ila hapa dribbling kbsa awez kusogea n mpira

Nasemaga kila siku, japokuwa simpendi Allen, lakini Joe Allen (hasa yule wa Swansea) ana kipaji kikubwa kuliko Henderson.
 
wazee wa anfield tuwe wakweli, wachezaji wetu wote ni HATARI anayetufelisha hapa ni Rogers, ni maskini wa mbinu

Bruh, yanayoendelea sahiv huko ni balaa, nasemaga kila siku hii rodgers era itaisha vibaya sana, kama FSG wasipokuwa makini, kwa mfano mpaka sasa kishaigawanya Fanbase katika makundi makundi, mashabiki wenyewe tu hawaelewani, tunaweza tukawa tunalaumu sterling kaondoka kwa dharau lakin tusijue yaliyojili behind the scenes, kwanza kuna hili la sahiv, jamaa hawataki Balotelli, Borini na Enrique NA amewatenga na wenzie, yaan kina Balotelli wanatrain peke yao (manager anaejielewa hawez fanya huo ujinga hata kidogo)..jana kina Bascombe, Paul Joyce and Echo wanasema Sakho and Moreno watakuwa BackUp tu, na inawezekana Moreno huyohuyo na mwenzake Markovic wakauzwa au kutolewa kwa mkopo, sasa kuna maana gani ya kununua vijana na kuwachezesha msimu mmoja kisha kuwaona hawafai na kutaka kuwauza? Moreno katokea spain na Lazar katokea ureno, na ukiangalia bado ni wadogo wana mengi ya kujifunza, lakin baada ya msimu mmoja tu rodgers anataka kuwauza na FSG wanaangalia tu..

Tunaweza tukasema Markovic na Moreno hawakucheza vizuri msimu uliopita, lakin our worst player wa msimu uliopita Lovren anapewa nafasi msimu huu kwanini kina moreno nao wasipewe nafasi? Lucas ni SENIOR player wa 3-4 anaondolewa na Rodgers, FSG wanaangalia tu..Lallana kafanya kipi cha maana? Mbona anampa nafasi? Na Bascombe anasema eti Firmino bado hayupo fit kwa game ya bournemouth, sasa Asipomuanzisha Firmino hiyo game inayokuja ndo atawaelewa vizuri LFC fans..na uzuri itakuwa ni Anfield..
 
Huyu Rodgers kashakuwa tatizo pale LFC...

FSG nadhani wamekuwa wavumilivu Sana kwa BR sijui kawapa nini..

sidhani kama msimu huu ataumaliza salama...

hii ya kumuuza Lucas na kumuacha Allen binafsi ineniuma Sana.
 
wazee wa anfield tuwe wakweli, wachezaji wetu wote ni HATARI anayetufelisha hapa ni Rogers, ni maskini wa mbinu

FACT: Liverpool kwa ufupi ina magari moshi matupu , kuanzia coach mpaka wachezaji wenyewe, wachezaji wakueleweka pale awafiki ata 3..
 
FACT: Liverpool kwa ufupi ina magari moshi matupu , kuanzia coach mpaka wachezaji wenyewe, wachezaji wakueleweka pale awafiki ata 3..

Mignolet>Romero
Skrtel>Smalling
Sakho>Blind
Clyne>Darmian
Moreno=Shaw
Emre Can>Bastian
Coutinho>Hererra
Firmino>Depay
Ibe>Januzaj

Only Mata and Rooney can walk into my first XI.
 
Mignolet>Romero
Skrtel>Smalling
Sakho>Blind
Clyne>Darmian
Moreno=Shaw
Emre Can>Bastian
Coutinho>Hererra
Firmino>Depay
Ibe>Januzaj

Only Mata and Rooney can walk into my first XI.

A a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a a..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Liverpool can build team around Coutinho, says Kaka
(Source: Reuters)

Philippe Coutinho is capable of great things at Liverpool and can play the role that Steven Gerrard played for the Premier League side, according to former Brazil international Kaka.

Brazilian Coutinho underlined his worth at the club scoring a sensational 25-yard strike in the 86th minute of Liverpool's Premier League opener against Stoke City on Sunday to seal a 1-0 win.

"I have been a big admirer of Coutinho and he can be a very important player for Liverpool and Brazil," Kaka, who plays for Major League Soccer side Orlando City SC, told the Mirror.

"There will be a lot of expectation on him with Liverpool fighting to get back into the Champions League, but I know that he can handle it.

"One great player doesn't make a team, but you can build a team around one great player, and I believe he can be that player," he added.

Like the Brazilian, Gerrard has also moved to MLS where he plays for Los Angeles Galaxy and Kaka believes Coutinho is ready for a bigger role at Liverpool.

"Coutinho is a humble guy. He won't talk about being able to replace a legend like Steven Gerrard, and the truth is nobody could ever replace him, but with Gerrard gone they do need somebody to step up -- and he can do that," Kaka said.
 
Mkuu MosDef....wapi makamanda wako wa "mapicha mapicha" Mr Wise & BAK???

Waite waje huku bana.......msimu ndo ushaanza huo, tunahitaji zile chachandu kutoka kwao bana!!
 
Mkuu MosDef....wapi makamanda wako wa "mapicha mapicha" Mr Wise & BAK???

Waite waje huku bana.......msimu ndo ushaanza huo, tunahitaji zile chachandu kutoka kwao bana!!

LOOOOOL..
mr wise naona atakuwa kachukua likizo, hahahahahaha!!!
BAK nae huku hapiti siku hiziiii, hahahahahah...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom