Mimi ni LIVERPOOL ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
Rodgers anamtaka Benteke, but FSG hawatak kutoa £32m (kuactivate release clause yake) so wanasubiria kuona kama Villa watakubali kushuka mpaka kwenye £25m.
Nnachojua mm kwenye masuala ya usajili, tutahangaika na Villa mpaka karbia na dirisha la usajili kufungwa, kama Villa wataendelea kukataa our proposed bid, hatutakuwa na jins zaid ya kutoa hiyo £32m, coz kwa muda huo kutakuwa hakuna optional ST yoyote yule wa maana anayepatikana...
man city wametuma offer kumchukua f.delph. lets face it the only reason man city are making 'ridiculuos' bid for sterling is that they need english players. Liverpool wakiendelea kuleta pozi man city wakijitoa liverpool will stuck with this overrated kid ambaye kashawaambia wazi hataki kubaki lfc
![]()
habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu
habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu
Huyo ni fundi ila utashangaa keahauzwa mahali
habari zenu, mimi ni mgeni humu ila huwa siku haipiti sijasoma hii thread ya lfc ila nimejiunga rasmi na ni mwanamke hvyo nimependa kujitambulisha ili mnitambue mfuasi mwenzenu