Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu uliopita Emre Can alichanganywa sana kupangwa maeneo tofauti tofauti ndani ya muda mchache na kuathiri maendeleo yake. Markovic pia alipangwa wing back upande wa kushoto na kulia wakati alikotoka alikuwa anacheza nyuma ya striker.
Pia Adam Lallana ambaye hana pace lakini alimtumia karibia maeneo matatu msimu uliopita katika kipindi kifupi jumlisha na majeruhi hivyo kumzuia kusettle.

Philippe Coutinho alicheza pembeni baadhi ya game wakati eneo analoweza kucheza na kuleta mafanikio namba 10 na kidogo akicheza kiungo deep.

Jordan Henderson naye alicheza katika namba tofauti msimu uliopita kadili alivyoagizwa na kocha.
Mkongwe Gerrard naye aliishia kuhangaishwa asijue eneo gani anaweza kutulia ukizingatia na umri wake na hata waliomzunguka walikuwa wakibadilika badilika nafasi zao.

James Milner ambaye anatarajiwa kuziba nafasi ya Gerrard ambaye man city alipangwa maeneo asiyopenda naye anakuja kwa BR anayebadilisha position za wachezaji.
Mateo Kovacic ambaye hajijui kama seheme anayoweza kufanikiwa ni namba 10 au acheze kama Andrea Pirlo naye anahusishwa kusajiliwa nasi.

Kuwa na wachezaji wanaoweza kucheza maeneo tofauti tofauti ni jambo jema lakini ukifanya mabadiliko mara kwa mara inaleta shida kwa sababu timu inakosa umoja na maelewano.

Mfano Wenger naye anao viungo wanaoweza kucheza maeneo tofauti tofauti lakini hakuwabadili mara kwa mara na kubadili formation na hii ilisaidia kujenga umoja na maelewano uwanjani. Kwa upande wa BR alikuwa tofauti hasa akitangulia kufungwa au akitaka matokeo angeweza kubadilisha position na subs na kupunguza maelewano.

Tumeshuhudia BR akishindwa kujua mfumo gani autumie msimu uliopita. Pamoja na ukweli kwamba mtindo huo ulisaidia sana msimu wa 2013-14 ni kwa sababu alikuwa na muda wa kutosha maandalizi kujenga maelewano kabla ya mechi.
BR OUT

Naunga mkono hoja
 
Kwa ratiba tuliyo nayo kama tukifanya vizuri kuna nafasi kubwa ya kumaliza hata top 3 kama BR atawachezesha wachezaji wetu kwenye preferred position.

Let's take Europa seriously, its better to have it kuliko kutoka kapa na pia ni point ya kukomaza wachezaji wetu na kupata experience.

Hivi Jovetic imeshindikana kupatikanika maana pale city he is warming the bench tu

Jovetic ni DS part 2..made of tricing paper..
 
PNC mbona unawasumbua watani wetu wa jadi 😡😡

hv wewe nawe man u bado unajiitamtani wa jad sasa nyie na liver mechi yenu inatofaut gani na mbeya city vs prison maana wote ni buuure kabsaaa
 
hv wewe nawe man u bado unajiitamtani wa jad sasa nyie na liver mechi yenu inatofaut gani na mbeya city vs prison maana wote ni buuure kabsaaa

Umeanza kushabikia Barca lini? 2014?
 
hv wewe nawe man u bado unajiitamtani wa jad sasa nyie na liver mechi yenu inatofaut gani na mbeya city vs prison maana wote ni buuure kabsaaa

Man utd siyo mtani wangu wa jadi, mtani wangu wa Jadi ni Everton, Liverpool Vs Man Utd ni "big Match ya the most 2 succesful clubs in UK" just like "Madrid Vs Barca in Spain"
 
BR katika ubora wake. Ngoja tuone anatupeleka wapi tena maana sio wa kuondoka leo
 
Nimesikia Coates anataka kujasiliwa na Sunderland kwa dau la paundi Milioni 4.
Sasa sijui LFC wana mpango gani na huyu dogo wakuu....
 
Guys this portugal team is a really gem, Calvalho is bossing the mid-field. Game imeanza saa 1900 its Portugal Vs Germany. Emre Can and tiago Illori are featured in their teams

Bernardo, Manaco is having magician, Younes very trickery German
 
.....And Emre Can flopped..
 
Saying Bobby Firmino ni PROMISING talent is like saying Aubameyang/Lacca/Son etc ni PROMISING talents.
 
Let's wait and See, some top reds are saying Ayre bado yupo Chile..

Inaweza ikawa deal ya Bacca/?..

Bacca kaingia term za mdomo na AC Milan,likely tukamkosa sababu sisi nguvu zetu zote zipo kwa Li Benteke tukijaribu kuomba wapunguze releasing clause ya Milion 30!

Nikisikia tupo kwa Congelese Bolaise wa Palace wala sitashangaa sababu BR target za ST ni za hovyo hovyo mno
 
WELL, Rumours ni kwamba FSG wanajiandaa kuiuza LFC kwa waarabu wa DUBAI, ambao wanamiliki OIL Company inaitwa CONSORTIUM, mmiliki wake ni "SHAIKH HAMDAN BIN RASHID AL MAKTOUM" ambae inasemekana ndo the 5th richest man in the world..and you can check on twitter that company is following us (LFC).

Kama mtakumbuka vizuri, November last year, JWH and his wife Linda, visted Dubai (that was before anfield expansion kuanza), so WE CAN DREAM FELLAS.

inasemekana kuwa kuwa tarehe 1 JULY, ni siku ambayo LFC fans tutaskia kitu kuhusu Club, inaweza ikawa kuhusu appoitment ya Assistant Manager (nahisi atakuwa Pako), au ikawa Benteke, au Rodgers kupigwa chini (?) Au Shaikh ata-take over (swali ni je anaweza kutake-over kabla ya expansion haijakamilika?)..

Interesting week AHEAD..let's HOPE for the Best..
 
It's real well rumour .... Ngoja niongeze maombi ili FSG waachie ngazi kwenye club yetu
 
WELL, Rumours ni kwamba FSG wanajiandaa kuiuza LFC kwa waarabu wa DUBAI, ambao wanamiliki OIL Company inaitwa CONSORTIUM, mmiliki wake ni "SHAIKH HAMDAN BIN RASHID AL MAKTOUM" ambae inasemekana ndo the 5th richest man in the world..and you can check on twitter that company is following us (LFC).

Kama mtakumbuka vizuri, November last year, JWH and his wife Linda, visted Dubai (that was before anfield expansion kuanza), so WE CAN DREAM FELLAS.

inasemekana kuwa kuwa tarehe 1 JULY, ni siku ambayo LFC fans tutaskia kitu kuhusu Club, inaweza ikawa kuhusu appoitment ya Assistant Manager (nahisi atakuwa Pako), au ikawa Benteke, au Rodgers kupigwa chini (?) Au Shaikh ata-take over (swali ni je anaweza kutake-over kabla ya expansion haijakamilika?)..

Interesting week AHEAD..let's HOPE for the Best..

If true, this could be the best piece of news of the close season!

Hawa Wamanga tungewapata before those two Yankees dickheads Gillet na mwenzake 10 years ago, nina uhakika by now tungekuwa tumebeba at least ndoo 3 za EPL and at least one more CL crown to our name. Embu angalia ManCity na umbumbumbu wao wote walicho-achieve kwa kuwa bankrolled by the bottomless pockets za Wamanga.

Natamani sana hii habari iwe kweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom