Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Stupid owners!!!!!!!!The manager is IN, Assistant manager is OUT!!!How can this happen????and Again It was very easy to Sack King Kenny but it is very difficult to sack a poor manager with nothing.

Go to Hell BR.
 
Dah! Ntafurahi sana kama FSG wakimrudisha Pako LFC..Saaaaaaaaaaaana!
 
Contihno kawafunga mexico goli la kwanza dk ya 28.game ya kirafiki live ss3.
 
Kwa hii perfomance ya Coutihno na Mexico hapa,na kwa vile Xavi anaondoka Barca sidhani kama kijana huyu atabaki Liverpool!Coutihno tunaweza mkosa sababu Liverpool haina dira wala mwelekeo

Akiondoka sitamlaumu sababu team yangu HAINA KOCHA

BRAZIL 2 MEXICO 0 dakika ya 57
 
Huyu jamaa alivyoondoka Benitez ndio alianza kuyumba ,nilisikia amefanya vizuri huko Israel

Echo wamesema jamaa anautaka uManager kabisa, hataki kurudi kama Assistant coach..

Ila nmeona some top reds wanasema Rene Meulensteen will be approached pia..Anafaa sana pia..nadhani unamuelewa sana huyu mtu pia, alifanya vizuri akiwa nanyi kipindi kile.
 
Kweli kabisa...... Nimesoma article moja nikaona majina mengi yaliyopendekezwa wakiwemo Zenden, Hypia, Fowler, Carragher, little Sam

Carragher ni big NO imo..Fowler ndo kwanza katoka kupata leseni juzi tu, tunahitaji watu wazoefu, Pako/rene akiwa na Hypia, heard kuwa Alex wa Academy anaweza akawa promoted, Mike Marsh got promoted na amefail mpaka kapigwa chini..Pako ndo anafaa sana, lakin naona hayupo interested kivile, Rene anafaa pia, then hypia kama defensive coach, na kocha wa makeeper anahitajika pia, niliskia nae anapigwa chini.
 
Chelsea are in for Benteke LOL

Dah! MUNGU asaidie tu jamaa aende chelsea, nasali usiku na mchana huyu jamaa asije LFC.
 
2nd bid ya Clyne inakaribia kupelekwa southampton..

Ings kilichobaki ni annoucement tu..

Mipango ya msimu kutoka kwa some top reds ni BackUp GK (Matt Ryan and Bogdan(Shitty GK sadly), RB (Clyne), Milner and a BIG MONEY MIDFIELDER (we're trying for KOVACIC/other options), ings and BIG MONEY ST (Kuna 35m kwa ajili ya ST this summer)..


ST ambao wapo kwenye list
1. Lacazette
2. Aubameyang
3. Higuain
4. Vietto
5.Benteke

PSG imelodge bid kwa Lacca, but biashara itakuwa ngumu kutokana na upinzani wa hizi team mbili, vietto inasemekana anakaribia kutua ATM, Higuain and Aubameyang wapo TU, so ni kuomba sana Benteke aende chelsea, ili twende full kwa hawa player wengine...silaha kubwa ukiwa out of CL ni kulipa BIG WAGES.
 
........hii thread bila Blac kid na Pazi, nahisi kama pana uwalakini vile!?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mi nmeathirika ki saikolojia tangu tufungwe na aston villa game ya FA sijawai kuangalia mechi yoyote ya mpira wa miguu,yani nmefkia kipindi nataka niachane na huu mcheza niwe naangalia basketbal tu na tennis,sijui nifanyeje,./
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom