Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea are in for Benteke LOL

Dah! MUNGU asaidie tu jamaa aende chelsea, nasali usiku na mchana huyu jamaa asije LFC.

Tumemsajili Ings
Tunasubiri msimu tu wa usajili uanze awe mchezaji wetu
Ings hatupeleki popote
 
Ings?...

Duh

Tumemsajili Ings
Tunasubiri msimu tu wa usajili uanze awe mchezaji wetu
Ings hatupeleki popote

Hawa ni wachezaji wa kawaida sana mwaka jana tumesajili watu 9 lakini mwisho wa cku hakuna kitu tulichopata na ninaona na mwaka huu tunafanya vilevile wachezaji wa kiwango cha hv tutasubiri sana watu wamanunua wachezaji 3 kwa hela ndefu wanaleta impact sisi 9 ndiyo tunadolola kabisa. Hawa wachezaji wakiingereza hawana kitu sasa hv na huyu Rogers ndiyo amewang'ang'ania kama nini
 
Ings ...seriously
Hivi kwa nn tena walimkataa Remy ?
 
Stupid owners!!!!!!!!The manager is IN, Assistant manager is OUT!!!How can this happen????and Again It was very easy to Sack King Kenny but it is very difficult to sack a poor manager with nothing.

Go to Hell BR.

FSG just wants to frustrate the shit out of Rodgers so he ends up resigning (and he will by Xmas). they don't want to spend a single quid in compensation which they would have, had they sacked him.

a miserable bunch of owners, these.
 
Ings ...seriously
Hivi kwa nn tena walimkataa Remy ?

Liverpool FC are delighted to announce that they have agreed personal terms with Danny Ings and, subject to a medical, the striker will join the club on July 1 after his contract with Burnley has expired.

The 22-year-old struck 11 goals in 35 Barclays Premier League appearances last season, which was his first in the top flight.

Ings had found the target 21 times in the previous campaign to help the Clarets secure promotion from the Championship.

The forward has nine caps for England U21s, with four goals to date too, and will represent his country at the U21 European Championship later this month.

Ings faced the Reds twice in 2014-15, featuring for 90 minutes at Anfield in March.
 
Inaonekana/kuwezekana Skrtel naye kuondoka this summer

Let me hope pale mbele waondoke akina Lambert ,Balo na Ings (ooooops huyu ndo amesajiliwa tu:what:
) Ili fit DS apate partner wa kuelewana nae..
 
Ings ni backUp ST, summer hii ST watatu wanaondoka Lambert, borini and MB (loan), mchezaji wa thamani ya £5m hawez kufanywa kama main target katika team, ings ni backup, na bado tupo kwenye market tunatafuta another Mid na ST, wakina Barret, pearce,Joyce etc kila siku wanareport kuwa tuna budget ya £30+m kwa ajili ya ST..lets just hope they'll spend it kwa mchezaji sahihi, Ings is just a BACK-UP ST.
 
Now Bascombe and Joyce saying Pako, Rene and Hyppia wote wapo interested na role ya Assistant coaches, Its understood kuwa FSG wanawataka pako na Rene kama Assistant coaches, kuwareplace Poscoe na Marsh, but Hyppia is on the list too..
 
Tumemsajili Ings
Tunasubiri msimu tu wa usajili uanze awe mchezaji wetu
Ings hatupeleki popote

He's just a backup ST Malafyale, something big is coming Up (well, kama hatutatupa hela zote kwa Benteke), but plans ni kusajili Midfield mwingine, RB na Marquee ST..; CL football inaweza kuwa tatizo, but FSG wamebadilisha kidogo mpangilio wa wages, so kama hakuna CL na unataka marquee signing lazima utoe big wages..
 
Last edited by a moderator:
He's just a backup ST Malafyale, something big is coming Up (well, kama hatutatupa hela zote kwa Benteke), but plans ni kusajili Midfield mwingine, RB na Marquee ST..; CL football inaweza kuwa tatizo, but FSG wamebadilisha kidogo mpangilio wa wages, so kama hakuna CL na unataka marquee signing lazima utoe big wages..
Hata back up role mm sikubali mkuu!
Mlete Higuain kama main ST na mlete Pedro pia ambaye wala hachezi Barca vya kutosha

Ings;Benteke,Charlie Austin na a likes ni kujirudisha nyuma zaidi
 
Last edited by a moderator:
Hata back up role mm sikubali mkuu!
Mlete Higuain kama main ST na mlete Pedro pia ambaye wala hachezi Barca vya kutosha

Ings;Benteke,Charlie Austin na a likes ni kujirudisha nyuma zaidi

Ndo hicho wanachotaka kufanya LFC, wanatafuta Big name ST, pedro kasign mkataba mpya na Barcelona...so ST mkubwa akija tutakuwa ni 2 TOP ST'skwnye team DS na huyo mwingine, ings and Oigi kama backup ST..
 
LFC fans wanatakiwa wakubaliane na ukweli wa hali ya club kwa sasa, kama FSG walishindwa kumfukuza Brendan hiyo ni ishara tosha kuwa hawana ambition kabisa, so hata signings tusitegemee kubwa sana, kinachosubiriwa hapa ni FSG kuuza club upanuzi wa uwanja ukikamilika, realistic targets za LFC katika striking option ni Aubameyang, Vietto, Higuain and Benteke, ITK's wanasema we'll try kwa Tevez kama first targets zikifail, but sijaona any local journal akireport hii ishu.

BR alivyobaki LFC, nkajua hakuna kikubwa cha kukitegemea, hatuna owners ambao wanaijua thamani ya LFC na mpira kwa ujumla, so tutamoan sana lakin ukweli hautabadilika, me nshaacha kumoan kabisa kuhusu transfers tangu last season, i remember nlilalamika sana kuhusu Remy humu, mpaka watu wakasema nalalamika sana, lakin matokeo yake yakaja kuonekana, me sahiv sina haja ya kujiwekea expectations kubwa za usajili, coz naogopa kuwa dissapointed sana, kama owners hawakuisikia 89% ya LFC worldwide waliokuwa wanataka Rodgers afukuzwe, sidhan kama watasikia chochote sahiv.

Cha msingi LFC fans wanatakiwa wawe excited na habari za kubadilishwa kwa backroom, Rene au Pako watatusaidia sana, lakin kutegemea makubwa kwenye usajili yatakuwa ni maumivu tu baadae.

Kama tu backup keeper tunamtaka bogdan wa Bolton, unafikiri kuna nn hapo? Yaan logic ya rodgers ni kuwa bogdan ni upgrade ya Brad jones...club yetu. Ndo ipo hivyo sahiv, so tutamoan sana lakin it wont change a thing..kama local lads waliopo Liverpool city, wanashindwa kuchukua actions zozote zile, itakuwa kwa sisi mashabiki wa mbali???
 
From deadly top team combination of SAS to ISIS (Ibe, Sterling,Ings,Sturridge) deadly mid-table team. Rodgers keeps doing wonders at Anfield.
You can add MISS (Milner,Ings, Sturridge,Sterling ) OR LOSS (Lallana, Origi , Sterling,Sturridge )
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom