Kesho, sitaangalia game yetu na Crystal palace..I dnt want to cry Aisee, game ya mwisho ya SG at Anfield, skuwahi kufikiria hii siku kama itakuja kutokea..itaumiza zaidi atakapoAGA rasmi hiyo kesho baada ya Game pale uwanjani, can't watch it..
SG kasema alitarajia kustaafu 2016/17 siyo mapema hivi!100% BR kamuondoa SG akimhofia kuchukua kazi yake hasa kipindi kile tunaboronga
Assuredly I say to you,sooner not later SG will come back as Liverpool Coach
Sure Mkuu, BR ndiye alimuonyesha mlango...but umri now umeenda sana kwa Legend wetu
Paul Joyce saying we're offering Kolo Toure another 12 months contract, kwahyo kwa mantiki hiyo we're not signing CB yeyote this summer, (sakho, Lovren, skrtel, Ilori and Kolo)
Muddock saying we're signing Milner, and we'll be paying him 100K per week, huwa simuamini kabisa Muddock but if this shit is true then heshima yangu kwa LFC as a club yote itaisha.