Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Mr. Wise, Edin Dzeko hatuwezi kumpata na si type ya striker we need, he's good but he lack pace. Dyabala yule kuna possibility kubwa kwenda kwa Allegri kuliko kuja kwetu, dyabala ni type ya striker tunaye muhitaji ila hatutampata na yeye yupo kwenye mgomo wa mkataba mpya anataka kwenda barcelona baada ya ban yao kuisha au hata Juve.
Kuna huyo dogo hapo (jonathan Rodriguez) wa Uruguay ni jamii Suarez nadhani baada ya copa america atapanda dau sana kwa sasa hata 10m £ hafiki ila subiria copa america iishe tutaona Benfica watakavyofanya biashara kama kawaida yao.
Na shida yetu ya Mid-fielder tunashindwa kwenda kwa Javi Martinez???? Hivi scouting team yetu haijamuona.
We need a goalie, its high time now to part ways na Brad Jones, he has been a loyal servant to us but we need Quality not quantity.
Raheem Sterling, huyu dogo kwa namba ya games alizocheza msimu huu nadhani hicho ndo kiwango chake I don't think kama kutakuwa na improvement yeyote kubwa kutoka kwake najua watu watasema he's still young, C.Ronaldo came into prominence at that age na improvements were seen day in day out
Yea Dzeko is not our type, nilijaribu kumpima na Benteke mtu wa style yake.....yani heri uyu kuliko uyo Benteke aiseee!!!Yani Naiona team yetu LFC inarudi nyuma tokea 2009