Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Unahangaika sana na wewe... Unakera
Sheria za jf sawa lakini unakera
Unaboa kichizi acha ushamba
Teh teh teh... Boya at work
Niiteni majina yote mtakayo...ila niwahakikishie jambo moja...hayo majina hata hayawezi kunibadilisha mitazamo yangu na kile ninachotaka kukisema na wapi nikiseme...
Hivi ukijibizana na boya ama mshamba, wewe unakuwa nani?!?
Nyiye Loserfools mnachekesha kweli...mnajitutumua kuniita majina yote mkifikiri yananishtua ama kunichukiza...kumbe ndiyo yananizidishia nguvu ya kusema kile ninachotaka kukisema...
Kama nakuboa bro...just ignore what I say...otherwise swallow it...it's that simple bro...