Kwanza kabisa nilikwambia ukacheki presser ya LVG kuhusu Depay na PSG, sidhan kama umecheki, Coz LVG mentioned PSG and Not LFC, and mchezaji angechagua vipi teams, wakat LFC haikubid?? Au we mwenzangu unareport za kuwa LFC walibid kwa Depay?? Did we tried even kumatch bid yenu?? Na cha msingi sikiliza maneno ya kocha wako LVG, kwanini waliharakisha kubid kwa Depay, angeimention LFC ningekubaliana na wewe..
And then, how can you compare Russian league na Ned league kwa ubora?? Are you serious bro?? Usikurupuke Aisee, sometimes kama hukijui kitu fanyia research kwanza bro..afu Willian kumweka Daraja moja ni kama umepanic Aisee, kabla hajaenda Anzh, alikuwa shakhtar, na unajua amecheza muda gan shakhtar, na mostly katika UCL competitions, so comparing Willian to Depay, unazid kuonekana wa ajabu, I mean a player ambaye kishacheza kwenye level kubwa za mashindano Ulaya, tena kwa kiwango kikubwa, kumfananisha na dogo kama Depay..willian wakat anakuja England tayar alikuwa proven player, that's why watu walifika mpaka £32m..leo hii unataka kumweka daraja moja na Depay..
Then, hiyo mifano ya Suarez na RVP, inazid kuonyesha kuwa umekurupuka, coz Post yangu ya kwanza ilisema "LFC inahitaji established players" wakat suarez anakuja LFC hakuwa established player, kaja kutengeneza jina LFC, na can you remind me Wenger bought RVP from F'nood for how much?? Alitengeneza jina wapi?? Kwa kipind tulichokuwepo LFC now, tusingehitaj signings za kina suarez au RVP, coz tayar kwenye team kuna potential players kibao, kinachohitajika ni Established players au Starters katika team, Suarez ilimchukua miezi mingapi kukaa sawa?? Unafikir ilikuwa ni that easy kwake?? Who knew Suarez wa Ajax kipind kile? Zaid ya Fans wa karibu sana wanaofatilia mpira?? Ni sawa sawa na useme De jong wa Ajax anajulikana sana Sahiv, which is pathetic..and I wonder mashabiki wangapi wa Manure hapa Tz, wamemuona mara ngapi Depay akicheza Dk 90 eridivisie akiwa na PSV, zaid ya sahiv kufatilia stats na Youtube clips..
And sterling, well you can't compare them, One is proven Ned league player, and another is EPL proven player, but Sterling is SHIT kwa Depay, ila sterling is not valued at £22-m bro, kwa TEAM yeyote ile itakayotaka kumsign, (ila nakubaliana na wewe Sterling hamwezi Depay), 2014 Raheem won the EUROPEAN GOLDEN BOY AWARD, ambapo watu kama kina Pogba, Gotze, Isco etc, washawahi kushinda, Depay is 21 right? I thought 2014 kushuka chini alitakiwa kuwepo katika hii list ya washindi,stats zinam-back though..
Depay, ni great potential player kama kina Vietto, Lucas Silva, Munir, Firminho etc, unapowasign, unatakiwa uwe na wachezaji wengne tayar kwenye team wa kuwategemea, but siyo kuwasign hawa na kuwafanya tegemez moja kwa moja katika team, a team which has a lot of problems katka midfield, RB, na ST haiwez kusajili potential player ili aje kusolve problems za team, kipind tunamsajili Suarez, team ilikuwa na kina Kuyt, Maxi Rodriguez, SG, Carragher, Agger, Aurelio etc, so ilikuwa ni easy kwake kuadjust, but nao LFC wapo kina nani?? SG anaondoka and Lucas anaweza akaenda inter pia, team inahitaj atleast STAR player mmoja, either awe ST or CDM..
And just so you know, transfer window ikianza, Bayern wasipokuja/kujaribu kumsign Di Maria, nipigwe ban.