Kwanza kabisa nilikwambia ukacheki presser ya LVG kuhusu Depay na PSG, sidhan kama umecheki, Coz LVG mentioned PSG and Not LFC, and mchezaji angechagua vipi teams, wakat LFC haikubid?? Au we mwenzangu unareport za kuwa LFC walibid kwa Depay?? Did we tried even kumatch bid yenu?? Na cha msingi sikiliza maneno ya kocha wako LVG, kwanini waliharakisha kubid kwa Depay, angeimention LFC ningekubaliana na wewe...
Arifu, mimi nimekuwekea sources zinazoonyesha Liverpool walibid na dogo kakataa! Sasa unasema niangalie press conference ya LvG akisema kuwa kam-snatch dogo kutoka kwa PSG. Is it something new? No, it's all the news!
Yeye kutoitaja Liverpool haimaanishi Liverpool haikubid! What kind of conclusion is that bruv?!? Dogo mwenyewe na technical director wa PSV wamesema kuwa Depay alii-snub Liverpool! Sasa kwanini nawe usijiulize kwamba mbona Depay hakusema kuwa alii-snub PSG?!?
And then, how can you compare Russian league na Ned league kwa ubora?? Are you serious bro?? .
Yes, for this, I was damn wrong. UEFA's coefficients rankings prove me wrong.
I have the guts to accept when I'm wrong, unlike others in this thread!
But, Willian didn't last long in Russia bro! He spent most of post-Brazil career in Ukraine!
Usikurupuke Aisee, sometimes kama hukijui kitu fanyia research kwanza bro..afu Willian kumweka Daraja moja na depay ni kama umepanic Aisee, kabla hajaenda Anzh, alikuwa shakhtar, na unajua amecheza muda gan shakhtar, na mostly katika UCL competitions, so comparing Willian to Depay, unazid kuonekana wa ajabu, I mean a player ambaye kishacheza kwenye level kubwa za mashindano Ulaya, tena kwa kiwango kikubwa, kumfananisha na dogo kama Depay ni tatizo ..willian wakat anakuja England tayar alikuwa proven player, that's why watu walifika mpaka £32m..leo hii unataka kumweka daraja moja na Depay...
Sijakurupuka arifu. Naona tunatofautiana maana ya established player! Who is an established?
Kwangu ni mchezaji anayefanya kazi yake ipaswavyo uwanjani: kama ni beki basi he should be defending really hard, and his stats should prove it. Kama anacheza kwenye wing-forward positions, then he should be banging assists and goals like cuckoo head!
Willian played for Shakhtar and Anzhi for a total of 151 games, scoring 21 goals. Kwenye national teams, ana goals 4 katika jumla ya michezo 29. Kwa rentboys ana goals 6 katika michezo 59.
Nimeshaweka stats za Depay mwanzoni. Sasa ndiyo maana nimesema tunatofautiana kuelewa 'established player' ni yupi na kwa misingi ipi! Kwa kufuata stats, Depay looks more established than Willian (in pre-EPL careers). Kama kucheza michezo mingi yes. Willian is more experienced than Depay. But, I would laugh hard if experienced is synonymous to established in your terms!
Halafu bei aliyonunuliwa Willian na Anzhi, almost ndiyo hiyo hiyo aliyonunuliwa na Rentboys. Sasa sijui unaelewa maana yake?!?
Pia siyo wakati wote thamani ya mchezaji inaoonyesha ati ni 'established player'. Ukichukulia mfano wa namna wachezaji wa kiingereza wanavyokuwa overhyped na media. Mfano, nimesema Ross Barkley ana value ya £60m! Sasa naye ni established player?!?
Then, hiyo mifano ya Suarez na RVP, inazid kuonyesha kuwa umekurupuka, coz Post yangu ya kwanza ilisema "LFC inahitaji established players" wakat suarez anakuja LFC hakuwa established player, kaja kutengeneza jina LFC, na can you remind me Wenger bought RVP from F'nood for how much?? Alitengeneza jina wapi?? .
Nani sijui kakurupuka hapa. Ulisoma post yangu ukaielewa vizuri? Ruud van Magoli kwa United siyo RvP, ni the one and only van Nistelrooy. Kwanza hata hukuweza kufahamu United haikumnunua RvP straight toka Eredivisie?!? Nilikuwa naongelea wachezaji waliokuja United moja kwa moja kutoka Eredivisie. Wewe ukajiaminisha namuongelea RvP.
Kwa kipind tulichokuwepo LFC now, tusingehitaj signings za kina suarez au RVP, coz tayar kwenye team kuna potential players kibao, kinachohitajika ni Established players au Starters katika team, .
Oh, I see.
Suarez ilimchukua miezi mingapi kukaa sawa?? Unafikir ilikuwa ni that easy kwake?? Who knew Suarez wa Ajax kipind kile? Zaid ya Fans wa karibu sana wanaofatilia mpira?? Ni sawa sawa na useme De jong wa Ajax anajulikana sana Sahiv, which is pathetic..and I wonder mashabiki wangapi wa Manure hapa Tz, wamemuona mara ngapi Depay akicheza Dk 90 eridivisie akiwa na PSV, zaid ya sahiv kufatilia stats na Youtube clips...
Hapo unaongelea mchezaji alivyopata shida kuadapt Loserfool, na siyo EPL. Ruud van Magoli clicked from the beginning, so as Jaap Stam and currently Daley Blind. So, don't use Loserfools' history to assume Depay's future in the EPL.
And sterling, well you can't compare them, One is proven Ned league player, and another is EPL proven player, but Sterling is SHIT kwa Depay, ila sterling is not valued at £22-m bro, kwa TEAM yeyote ile itakayotaka kumsign, (ila nakubaliana na wewe Sterling hamwezi Depay), 2014 Raheem won the EUROPEAN GOLDEN BOY AWARD, ambapo watu kama kina Pogba, Gotze, Isco etc, washawahi kushinda, Depay is 21 right? I thought 2014 kushuka chini alitakiwa kuwepo katika hii list ya washindi,stats zinam-back though...
Here we go again! Hiding faces in the curtains!!
I brought real stats for Depay, then what you did is to chicken out by saying Raheem is a Golden Boy award winner. Great. Then bring on the table stats that made him the winner. It's that simple bruv.
kipind tunamsajili Suarez, team ilikuwa na kina Kuyt, Maxi Rodriguez, SG, Carragher, Agger, Aurelio etc, so ilikuwa ni easy kwake kuadjust ..
Mh! This is kinda contradictory. Earlier on you said, Suarez struggled to adapt to EPL. Now you are saying because Loserfools had 'established players' it was easy for Suarez to adjust! Check what you think and write bruv!
but now LFC wapo kina nani?...
Asking me? Do that to Loserfools technical team, who salivated for Depay, ending up being snubbed!
And just so you know, transfer window ikianza, Bayern wasipokuja/kujaribu kumsign Di Maria, nipigwe ban.
You think I'm going to be saddened by his departure! You are dead wrong bro! That's part of football life. Players come and go, and others replace them. So, if Di Maria would go, it's fine with me. And will wish him all the best. He has done good business to United, plus he is team's top assister.