Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MB alikubali kukatwa pia mshahara ili kujoin LFC, so hapo ulikuwa ushakatwa tayari..

Daaah majanga haya
Borin anakunja zaidi ya Can
Johnson anavuta zaidi ya Sakho
Ibe maskini ana 10,000 tu
Nina laani Hendo kuvuta zaidi ya Coutihno
Sitaelewa kama Raheem atavuta zaidi ya Cou
 
This season:
DS, MB, Lambert, Borini

Next Season:
DS, Benteke, Ings, Origi

Kama kuna mtu anaona kutakuwa na mabadiliko/au kuna upgrades zozote hapo anahitaji msaada wa haraka sana kuhusu uwezo wake wa kufikiri.
 
Team yetu ni team ya 9 kwa utajiri duniani(Kutoka ripoti ya Forbes leo)kweli target yetu iwe Milner?

Milner atatuvusha huyu hata nusu ya Diaz?

Ukiona report ya leo si unaweza kufa kabisa,

Tupo katika "world's super six football clubs" but am certain kama itaendelea hivi next season tutashuka, coz sahiv tumepitwa mauzo ya jezi mpaka na chelsea ndugu yangu..
 
Na aliyekuwa anatubeba kwenye jezi ni SG sasa anaondoka!Hopeful kocha mpya atazuia SG kuondoka amfanye kocha msaidizi

Kipigo cha jana Munchen nina uhakika watamfukuza Pep na atadakwa na Man City na sisi tutakuwa sole contender kwa kocha Klopp
 
Daaah majanga haya
Borin anakunja zaidi ya Can
Johnson anavuta zaidi ya Sakho
Ibe maskini ana 10,000 tu
Nina laani Hendo kuvuta zaidi ya Coutihno
Sitaelewa kama Raheem atavuta zaidi ya Cou

IBE, analipwa kama wenzake kina Dunn, Brannagan, Teixeira, stewart etc ambao wana proffesional contract na club, lakin katika mkataba wake upya atakaosign hivi karibuni, ataanza kulipwa 35K,

QPR walikacha kumsajili borini usajili uliopita coz he demanded 90k per week..but anaondoka summer hii..

Mkataba wowote ule atakao-sign Raheem, lazma uwe na value kubwa kuliko wa Coutinho, and I can see him signing a new deal mwisho wa msimu, coz man city are in for Pogba, watashindwa kwa Raheem kwasababu ya FFP,
 
Na aliyekuwa anatubeba kwenye jezi ni SG sasa anaondoka!Hopeful kocha mpya atazuia SG kuondoka amfanye kocha msaidizi

Kipigo cha jana Munchen nina uhakika watamfukuza Pep na atadakwa na Man City na sisi tutakuwa sole contender kwa kocha Klopp

Ancellot ndo target kubwa ya Man city..
 
IBE, analipwa kama wenzake kina Dunn, Brannagan, Teixeira, stewart etc ambao wana proffesional contract na club, lakin katika mkataba wake upya atakaosign hivi karibuni, ataanza kulipwa 35K,

QPR walikacha kumsajili borini usajili uliopita coz he demanded 90k per week..but anaondoka summer hii..

Mkataba wowote ule atakao-sign Raheem, lazma uwe na value kubwa kuliko wa Coutinho, and I can see him signing a new deal mwisho wa msimu, coz man city are in for Pogba, watashindwa kwa Raheem kwasababu ya FFP,

Why Hendo na Raheem wale pakubwa zaidi ya Coutihno wakati output yao haifikii hata kuikaribia ya Coutihno?

Hii imekaaje MosDef ?Je haitaleta conflict kwa hawa wachezaji akiwemo Emre Can anayecheza vyema sana anakula $55,000?
 
Last edited by a moderator:
Kuna usenge(sorry kwa neno hili,nimekosa neno zuri zaidi la kufikisha hisia zangu kwenu) mwingi Sana unaendelea pale LFC...nasikitika kuwafahamisha kuwa nimekaribia kuichoka timu yangu....

the only problem we have is Ownership aisee...Our team is owned by non football investors with no ambitions....

and a very mediocre Manager....with a ridiculous transfer policy.....
 
Kopites wenzangu na-enjoy sana analysis zenu kuhusu eneo la usajili. Dah, watu mko vizuri aisee!

Lakini mbona kwa kiasi kikubwa focus yetu inaonekana ipo zaidi kwenye strike force? Ni kweli limekuwa tatizo letu msimu huu lakini je ni KWELI ndiyo tatizo letu la msingi, tactically speaking?

Mimi naona approach hiyo inaweza kufanana na kujenga nyumba kwa paa la marumaru za nguvu huku msingi wake ni wa chokaa, au nakosea wajameni??

Binafsi nadhani.... pamoja na juhudi za ku-strengthen strike force, hilo lingeenda sambamba na pengine kwa nguvu zaidi kupata walau established CB mmoja na midfield anchor (established) mmoja.

Tulikuwa na tatizo kwenye backline yetu msimu uliopita wakati tukiwa na SAS yetu - tukajikuta milango yetu yote mbele na nyuma iko wazi (tulifunga mengi na tukafungwa mengi vile vile!!) na ninaona bado tatizo hilo halijaisha badala yake liko compounded na mauzauza ya kuondoka kwa SG na kuboronga kwa Lovren.

Remember.....attack wins you games but winning titles hinges on defensive solidity and this has been proved time and again.
 
Why Hendo na Raheem wale pakubwa zaidi ya Coutihno wakati output yao haifikii hata kuikaribia ya Coutihno?

Hii imekaaje MosDef ?Je haitaleta conflict kwa hawa wachezaji akiwemo Emre Can anayecheza vyema sana anakula $55,000?

Inategemea na personal agreement kati ya club na mchezaji, emre can akisign mkataba mwingine, wages zitapanda, then kuna bonuses kibao kulingana na perfomance ya uwanjani..

Hakutakuwa na conflict yeyote ile.
 
Last edited by a moderator:
Kopites wenzangu na-enjoy sana analysis zenu kuhusu eneo la usajili. Dah, watu mko vizuri aisee!

Lakini mbona kwa kiasi kikubwa focus yetu inaonekana ipo zaidi kwenye strike force? Ni kweli limekuwa tatizo letu msimu huu lakini je ni KWELI ndiyo tatizo letu la msingi, tactically speaking?

Mimi naona approach hiyo inaweza kufanana na kujenga nyumba kwa paa la marumaru za nguvu huku msingi wake ni wa chokaa, au nakosea wajameni??

Binafsi nadhani.... pamoja na juhudi za ku-strengthen strike force, hilo lingeenda sambamba na pengine kwa nguvu zaidi kupata walau established CB mmoja na midfield anchor (established) mmoja.

Tulikuwa na tatizo kwenye backline yetu msimu uliopita wakati tukiwa na SAS yetu - tukajikuta milango yetu yote mbele na nyuma iko wazi (tulifunga mengi na tukafungwa mengi vile vile!!) na ninaona bado tatizo hilo halijaisha badala yake liko compounded na mauzauza ya kuondoka kwa SG na kuboronga kwa Lovren.

Remember.....attack wins you games but winning titles hinges on defensive solidity and this has been proved time and again.

LFC fans wanapenda sana kumoan, imagine moaning for missing out on Depay?? Yaan Depay!!! Seriously??? As if ndo angesolve problems za LFC kwa namna yeyote ile, if sterling is staying, Depay wanini?? Another potential player...we need establshed players upfront, Establshed DM and RB, asa unasign Depay, then una Benteke na ings utakuwa umeongeza kipi???
 
Sturridge OUT for FOUR MONTHS, ni mpaka mwezi wa 9, so atakosekana mwanzo wa msimu.
 
Janjaweed, I heard that tumeBID kwa Kovacic, and the funny thing is tumebid €10m, hahahaha!! Yaan Kovacic unabid kwa kiasi hicho??? Na ndo aina ya mchezaji ambaye tunamuhtaj sana kwenye kikosi chetu..
 
Last edited by a moderator:
LFC fans wanapenda sana kumoan, imagine moaning for missing out on Depay?? Yaan Depay!!! Seriously??? As if ndo angesolve problems za LFC kwa namna yeyote ile, if sterling is staying, Depay wanini?? Another potential player...we need establshed players upfront, Establshed DM and RB, asa unasign Depay, then una Benteke na ings utakuwa umeongeza kipi???

Depay Namuona wa kawaida sana!
 
Janjaweed, I heard that tumeBID kwa Kovacic, and the funny thing is tumebid €10m, hahahaha!! Yaan Kovacic unabid kwa kiasi hicho??? Na ndo aina ya mchezaji ambaye tunamuhtaj sana kwenye kikosi chetu..
sisi ni mabingwa kwa kutekenya... then wengine wanamalizia

Liverpool aka wazee wa foreplay; wengine waje kupiga tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom