TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,193
- 18,221
Ameangalia wapi kuna maslahi, kukuza kipaji chake na future zaidi..
Future bila present ni umaamuma
Ameangalia wapi kuna maslahi, kukuza kipaji chake na future zaidi..
Janjaweed hayo mambo ya "the next big thing" ndo yametucost msimu huu", spent a lot of money kwa Potential players, remember when Marko alvyokuwa anarun the show kule Benifica?? Even Mou got interested, but now tupo wote humu, tunaona IBE ni bora zaid ya Marko.
Why Marko, has turned into shit??, kwanza ni "potential" that's means anatakiwa kuadopt kwanza, pili anachezeshwa nje ya eneo lake, na tatu hana confidence kabisa, hiyo yote bcoz BR anasema alimnunua kwa ajili ya "baadae", but what if angekuwa pedro/konoplyanka?? Wangechezeshwa kwenye RWB??
LFC hatuhitaji tena hizi potential buys..
Tunahitaji Sana Central Mids na ST wenye uzoefu na ambao wapo tayari..siyo kina Vietto, I'd rather have Chicharito kuliko Vietto/ings!
Wakituletea PJANIC ntashinda humu JF week nzima, ilibaki kiduuuchu aende Barca last season, naona washauri wake wakamshauri abak msimu mwingine Roma (Barca wakaona isiwe kesi wakaenda kubeba Fundi mrembo wa Croatia, Rakitic), asa hao ndo wachezaji tunaowataka LFC, hawana papara kabisa.
Am confident with this, coz BR alienda kumuangalia Roma ye mwenyewe, na juzi kasema kwenye presser kuwa anahitaji STARTERS tu sahiv, and Bascombe akasema jamaa kapewa Cash, na MB anauzwa pamoja na Borini na Father Lambo, so that's means we'll be needing 2 STs, ambaye mmoja tunamjua tayari! (Shite).
Interesting Summer ahead!
Wakuu hivi uyu DS si wa kumuuza aisee?Nahis kama akipata injury mbili tatu nxt season anaweza hata kustaafu akiwa bado kijana.
Belo bebeni Depay huyo ndugu zangu, Nyie mna Di Maria tayari, so kuwa na Depay hakutaathiri mipango yenu, si wenye kina Sterling tunahitaji Established Players zaidi.
mr.wise and Janjaweed naona PAUL JOYCE anasema tumekutana na Depay leo, MAN UNITED and PSG (blanc) should act faster, kwanza anaendana sana na mpira wa LVG, huku dogo wa watu asije akachezeshwa RWB bure!
We Got a SHITTY COACH Mr Memphis, you should stay away from that nonce!! And LFC pia!!!
Future bila present ni umaamuma
hapo nakongomelea kabissa, tena kwa accent ya kisukuma cha sengerema
I just don't want to see Depay at LFC.
Respect mkuu Osokonoi.
Kama ujuavyo, katika watu ambao ungeweza kuwabatiza jina la "wanaomfia BR" nadhani jina langu lingekuwa kwenye tatu bora. Hadi leo sijamchukia kwa sababu technically ni mwalimu mzuri sana.
Sijui ni kukosa uzoefu, sijui ni nini....inaonekana huyu bwana hana mental strength na emotional stability ya kuhimili matukio makubwa. Sasa mkuu si unajua hili chama letu ni kubwa na linaishi a kushamiri kwenye matukio makubwa.
Kweli anaweza kupata msimu mwingine, lakini hawezi kufanya kitu chochote kwa resources (kikosi) zilizopo pale sasa hivi. Na jamaa hana guts za kuwavimbia FSG kabisa!
Tunahitaji manager atakayewaambia FSG "namtaka Gareth Bale kwa gharama yoyote" na akapewa. BR hawezi kuwaambia hivo FSG na wao (FSG) hawaumii kwa msteso ambayo fans tunapata kwa hiyo business as usual. Ndiyo maana mimi nataka nao pia wanyang'anywe timu na Mrusi au Mwarabu mmoja mwenye ma-jay millions yake!
Bascombe kareport kuwa kapewa hela na Amekuwa summoned kule Boston (FSG base) hiyo June...
Ila kwangu mimi NAONA mambo yanaweza kumuharibikia zaid kama akiboronga kwenye hizi game SITA zilizobaki.
Mkuu Ed n Edd nEddy, the fact is msimu umetuendea kombo na mwaka jana everlenk alikuwa akijificha kipindi cha the chosen one. And what can we say about plastic team rent boys are rent boys managed by the person who cares nothing about football.
Kiongozi I will still give BR one last chance!