Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Hiyo kauli huwa yeye ana maana yake
Hull akicheza kama alivyo cheza leo ugenini na CL anaweza tufunga Anfield
Hull akitufunga nadhani BR anaweza fukuzwa!Wote tuombee iwe hivyo
Hiyo kauli huwa yeye ana maana yake
Hendo ni mchezaji Mzuri tu Tatizo lake sehemu mmoja akiwepo steven pembeni yake anakuwa muoga kila Pasi atampa steven baada kufanya yake akiwa Steven kwenye timu hayupo utsmpenda Hendo jengine Hendo hafai Kuwa Captain walete majembe kati ya yeye kukuza game yake ila Handerson mchezaji Mzuri, Brendan Rogers isubirie Newcastle United na si LFC, msimu ijayo aje tu Rafael Benitez.Henderson analipwa 100K!!
Shitty player!
Tuna bonge la Manager linaitwa Brendan Rogers ni Bora tu wasipoweza kumfukuza basi wamepeleke awe Coach wa Academy ndio panamfaa Maza Fanta! Basi Waengereza media zitaanza kuandama Ballotelli sijaona Steven G alichofanya leo na Lallana mbona hawasemi? Bora nipeleke CV! Yangu ya Kuwa Manager nitapata nafasi kubwa kuliko kurudishwa Benitez au Kuja Manager wamaana.
Hull akicheza kama alivyo cheza leo ugenini na CL anaweza tufunga Anfield
Hull akitufunga nadhani BR anaweza fukuzwa!Wote tuombee iwe hivyo
Hendo ni mchezaji Mzuri tu Tatizo lake sehemu mmoja akiwepo steven pembeni yake anakuwa muoga kila Pasi atampa steven baada kufanya yake akiwa Steven kwenye timu hayupo utsmpenda Hendo jengine Hendo hafai Kuwa Captain walete majembe kati ya yeye kukuza game yake ila Handerson mchezaji Mzuri, Brendan Rogers isubirie Newcastle United na si LFC, msimu ijayo aje tu Rafael Benitez.
Pamoja kiongozi
Kwa msimu huu BR amekumbana na misukosuko mingi, kuna ambayo inaonekana niya kujitakia na mengine probably niya kusababishiwa plus kuna yale ambayo ni lazima kutokea kutoka na na uhalisia wa mchezo wenyewe
Katika hayo mapito, uongo mbaya kama jinsi ulivyoainisha kwenye maelezo yako, wewe ni mmoja wa wale ambao ulipiga moyo konde na kumtetea hata pale ambapo hasira za wanaliverpool zilioneka kuwaka na kutaka kuunguza jamvi.
Umeongelea possibility ya BR kushindwa kufanya kile mashabiki tunachokitaka ( Ushindi/ Ubingwa) kwa resources zilizopo kwa sasa. Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Pamoja na kukubaliana na wewe lakini pia ninaamini BR ameliona hilo na vilevile najiaminisha kwamba atalifanyia kazi tatizo hilo.
Nimeona kwa twitter, Tony Barret ameandika Brendan Rodgers has admitted Sturridge could miss rest of season & said Liverpool need a forward who can "play at a top level every week."
Hull akicheza kama alivyo cheza leo ugenini na CL anaweza tufunga Anfield
Hull akitufunga nadhani BR anaweza fukuzwa!Wote tuombee iwe hivyo