Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

What if they all leave this summer?
 
Attachments

  • 1429808169067.jpg
    1429808169067.jpg
    29.8 KB · Views: 70
respectfully differ with you and I beg not to comment anymore

Its either Klopp or Brendan

kwisha

Rafa hana adabu

die hard fan anaifundisha scusms, unless hatujui maana ya die hard fan

Hapa Mkuu umemkosea sana RB, alafu ni fans wengi huwa mnakosea hapa. Manager ile ni kazi yake, Hivi kama umemtimua unataka akiletewa fedha ya maana hasifanye kazi??Ama kua die hard fan ni kukataaa ku manage team kama Chelsea??

Kingine iko hivi mkuu Chelsea na Liverpool hatuna upinzani wa Liverpool na Man Utd aisee, Chelsea na LFC ni sawa tu kabisa na Liverpool vs Man City, Liverpool vs Blackburn. Hata kama Chelsea kwasasa kawa title contender.
Sasa mkuu ebu judge hapa
2002-03 season Robbie Fowler sisi LFC fans tunayemuita "God" alijiunga na Man City. Je naye si die hard Fan??
1991-1995 Blackburn na ubingwa aliwapa, 1997-1998 Newcastle, Kenny Daglish tunayemuita "King" hadi leo alipotuacha alienda Blackburn. Je naye si die hard fan????
Mkuu u manager ni kazi, mbaya zaidi ma manager huwa wanatimuliwa si kuandika Transfer request za kuuzwa ama kuama kama wachezaji naamini hakuna manager anayeletewa donge nono wakati hana ajira akagoma kisa Upenzi wake kwa team fulani.
 
Mkuu ulipotea aiseee...ulivyopotea team ikapotea dah

Kaka niliingia kupiga kazi kidogo kukimbizana na hii masika isiyoeleweka.

Pande hizo social media ni kisambaa darasani...

Mkuu unafanya kazi kubwa keeping jukwaa letu alive...pongezi za dhati kiongozi!

Nilikuwa nafuatilia kiubishiubushi ila daaaah, kuwa fan wa hii timu yetu inahita moyo mgumu sana

Barua ya wazi kwa BR alioandikwa na Tisha-Toto imejaa maudhui yaliyojitosheleza, Mpiganaji wetu Malafyale naye mwenendo wa timu umemkera, Ed n Edd nEddy anachungulia kiaina kuona league itaisha vipi, as well nimeona jumbe nzito zenye masikitiko toka kwa Janjaweed na MosDef

Ila wakuu kwa heshima na taadhima naomba tumpe BR msimu mmoja..😛ray2:
 
Respect mkuu Osokonoi.

Kama ujuavyo, katika watu ambao ungeweza kuwabatiza jina la "wanaomfia BR" nadhani jina langu lingekuwa kwenye tatu bora. Hadi leo sijamchukia kwa sababu technically ni mwalimu mzuri sana.

Sijui ni kukosa uzoefu, sijui ni nini....inaonekana huyu bwana hana mental strength na emotional stability ya kuhimili matukio makubwa. Sasa mkuu si unajua hili chama letu ni kubwa na linaishi a kushamiri kwenye matukio makubwa.

Kweli anaweza kupata msimu mwingine, lakini hawezi kufanya kitu chochote kwa resources (kikosi) zilizopo pale sasa hivi. Na jamaa hana guts za kuwavimbia FSG kabisa!

Tunahitaji manager atakayewaambia FSG "namtaka Gareth Bale kwa gharama yoyote" na akapewa. BR hawezi kuwaambia hivo FSG na wao (FSG) hawaumii kwa msteso ambayo fans tunapata kwa hiyo business as usual. Ndiyo maana mimi nataka nao pia wanyang'anywe timu na Mrusi au Mwarabu mmoja mwenye ma-jay millions yake!
 
I dont want Depay near LFC, we need ESTABLISHED players, we've got a lot of POTENTIAL players already!!

Tunahitaji, Established ST, DM, CAM and RB (PROVEN TALENTS), Lacazzete/Martinez/Dyabala/Pjanic(IMPORTANT SIGNING)/Radja/Kondogbia/carvaliho/Song/Montoya

This Depay's leaked news bora ziwe ni "smoke screen" tu, we need to AIM higher Aisee!
 
United wametupiga bao kwa Depay... wacha tuhangaike na Bolasie na James Milner

Depay man????

C'mon Man, we gotta aim higher Aisee!!!

BR naskia kapewa MZIGO, me naomba atulie nao kwanza, Asikurupuke, The first move ambayo anatakiwa kufanya ni kwa PJANIC AU RADJA wa AS ROMA. Then tuangalie maeneo mengine, tuna tatizo kubwa sana kwenye kiungo!
 
Kwa sera ya FSG Depay angewafaa kwani baadae wangemuuza kwa bei nzuri,otherwise mtakuja kuishia kwa kina Ings,Milner,Delph,Walcott.BR sio mzuri kwenye kusajili
 
kama tunampa sterl 100 anakataa, ningempa depay 120K, he is the next big thing

kusema ukweli, we need two super striker (namba tisa), holding mido, box-to box, center half na kipa
 
Kwa sera ya FSG Depay angewafaa kwani baadae wangemuuza kwa bei nzuri,otherwise mtakuja kuishia kwa kina Ings,Milner,Delph,Walcott.BR sio mzuri kwenye kusajili

Nikimuangalia Depay, nawaona kina Ibe, Raheem ni players ambao bado wanahitaji kujifunza mengi sana!!

Kwa hali yetu ilivyo sasa, sidhan kama tunatakiwa tena kuangalia Potential players, inatupasa tuangalie wale wachezaji ambao wataingia straight kwenye team na kuisaidia moja kwa moja!! Tushachoka na Potential signings now.
 
Opinion za fans ziko hivyo but mawazo ya Rodgers ni tofauti kabisa angalia usajili wake hii misimu mitatu ndio utaona ugumu wa kusajili hao wachezaji unaowasema.Otherwise labda kama atabadilika
 
kama tunampa sterl 100 anakataa, ningempa depay 120K, he is the next big thing

kusema ukweli, we need two super striker (namba tisa), holding mido, box-to box, center half na kipa
Janjaweed hayo mambo ya "the next big thing" ndo yametucost msimu huu", spent a lot of money kwa Potential players, remember when Marko alvyokuwa anarun the show kule Benifica?? Even Mou got interested, but now tupo wote humu, tunaona IBE ni bora zaid ya Marko.

Why Marko, has turned into shit??, kwanza ni "potential" that's means anatakiwa kuadopt kwanza, pili anachezeshwa nje ya eneo lake, na tatu hana confidence kabisa, hiyo yote bcoz BR anasema alimnunua kwa ajili ya "baadae", but what if angekuwa pedro/konoplyanka?? Wangechezeshwa kwenye RWB??

LFC hatuhitaji tena hizi potential buys..

Tunahitaji Sana Central Mids na ST wenye uzoefu na ambao wapo tayari..siyo kina Vietto, I'd rather have Chicharito kuliko Vietto/ings!

Wakituletea PJANIC ntashinda humu JF week nzima, ilibaki kiduuuchu aende Barca last season, naona washauri wake wakamshauri abak msimu mwingine Roma (Barca wakaona isiwe kesi wakaenda kubeba Fundi mrembo wa Croatia, Rakitic), asa hao ndo wachezaji tunaowataka LFC, hawana papara kabisa.

Am confident with this, coz BR alienda kumuangalia Roma ye mwenyewe, na juzi kasema kwenye presser kuwa anahitaji STARTERS tu sahiv, and Bascombe akasema jamaa kapewa Cash, na MB anauzwa pamoja na Borini na Father Lambo, so that's means we'll be needing 2 STs, ambaye mmoja tunamjua tayari! (Shite).

Interesting Summer ahead!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom