Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Opinion za fans ziko hivyo but mawazo ya Rodgers ni tofauti kabisa angalia usajili wake hii misimu mitatu ndio utaona ugumu wa kusajili hao wachezaji unaowasema.Otherwise labda kama atabadilika

After this season, nadhan atabadilika!! (Kama akibaki LFC)

We need atleast 2 established players (CDM and ST)..
 
Belo, LVG akimchukua Dyabala, mnabeba league next season, MARK MY WORDS.

Ana mpira kama Wa Suarez Ule, yaani akiwa na Mpira ni HATARI, na akiwa Hana MPIRA NI HATARI VILE VILE. (Unaelewa ninachomaanisha).

ARGENTINA WANA HADHINA KUBWA SANA (Dyabala/Iturbe/Icardi/Vietto/Pastore)
 
Last edited by a moderator:
Janjaweed na wenzako naona MNATUKANWA hapa na BR!!! LOL!!

Hata Roy Hodgson HAKWENDA MBALI NAMNA HII..
ImageUploadedByJamiiForums1429915153.053803.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tangu nianze kufatilia mpira sijawahi kuona Dave Maddock akiandika habari ya ukweli kuhusu Transfers!!! MUANDISHI wa habari CHOGI sana, Bora hata mwenzake John Cross huwa anapatia kidogo za Arsenal.
 
Belo bebeni Depay huyo ndugu zangu, Nyie mna Di Maria tayari, so kuwa na Depay hakutaathiri mipango yenu, si wenye kina Sterling tunahitaji Established Players zaidi.
mr.wise and Janjaweed naona PAUL JOYCE anasema tumekutana na Depay leo, MAN UNITED and PSG (blanc) should act faster, kwanza anaendana sana na mpira wa LVG, huku dogo wa watu asije akachezeshwa RWB bure!

We Got a SHITTY COACH Mr Memphis, you should stay away from that nonce!! And LFC pia!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hivi uyu DS si wa kumuuza aisee?Nahis kama akipata injury mbili tatu nxt season anaweza hata kustaafu akiwa bado kijana.

Wakat yupo states alipass vipimo baada ya kutibiwa mwezi mzima, coz tatizo lake lipo kwenye ankle ya kulia, sehemu ya juu na chini, but alitibiwa, but alivyorudi England, nadhan ilibid waforce arud uwanjani, baada ya game mbili akatonesha, kabla ya kumpumzisha hizi games zote za mwishoni alikuwa anacheza na Sindano pamoja na maumivu. Kwa hili lawama wapewe LFC, wangemwacha kwa muda nje, Kama Roma wanavyofanya kwa Strootman au Manchester na Van Persie!
 
Belo bebeni Depay huyo ndugu zangu, Nyie mna Di Maria tayari, so kuwa na Depay hakutaathiri mipango yetu, si wenye kina Sterling tunahitaji Established Players zaidi.
mr.wise and Janjaweed naona PAUL JOYCE anasema tumekutana na Depay leo, MAN UNITED and PSG (blanc) should act faster, kwanza anaendana sana na mpira wa LVG, huku dogo wa watu asije akachezeshwa RWB bure!

We Got a SHITTY COACH Mr Memphis, you should stay away from that nonce!! And LFC pia!!!

Sure, tunahitaji sana established players kwasasa
 
Dah, stung by his mokery aiseee.
Kasahau kua kaweka record ya kua manager wa LFC 3 seasons with no trophy. BR ni Mwl mzuri but he is an Egoist.

Katudharau kweli ndugu yetu!!

Bill Shankly angekuwa mzima sijui angejiskiaje na hayo maneno!!

Manager anajisifia kwa kuwa/kumaliza number 5, baada ya kumaliza nafasi ya PILI last season na kutumia over €120m summer iliyopita.
 
Katudharau kweli ndugu yetu!!

Bill Shankly angekuwa mzima sijui angejiskiaje na hayo maneno!!

Manager anajisifia kwa kuwa/kumaliza number 5, baada ya kumaliza nafasi ya PILI last season na kutumia over €120m summer iliyopita.

Mkuu, may be sabab alizoea Swansea kule nafasi ya saba na ya nane ni kufanikiwa. Plz BR wake up ths is LFC tumia pesa vzuri ili ubring back our glory days.
 
Ha ha ha ha ha wenzie walituletea vikombe na bado walikua sacked. Basi tu ana bahati sana ndoa yake na FSG inawapa FSG wanachokihitaji.

Hahahahah!!! Kanichekesha kweli hapo BR, Kina Benitez wakiwa wanasoma hizo comments zake watakuwa wanacheka sana, BR bado hajaziweza pressure za team kubwa!!!
 
Mkuu, may be sabab alizoea Swansea kule nafasi ya saba na ya nane ni kufanikiwa. Plz BR wake up ths is LFC tumia pesa vzuri ili ubring back our glory days.

Bascombe kareport kuwa kapewa hela na Amekuwa summoned kule Boston (FSG base) hiyo June...

Ila kwangu mimi NAONA mambo yanaweza kumuharibikia zaid kama akiboronga kwenye hizi game SITA zilizobaki.
 
Hahahahahahah!!!! MADDOCK Bhana!! Hahahaha!!!



Tony Evans juzi alikuwa anaongea kwenye Talksport radio kuwa, pale uingereza Magazeti mengi yakitaka kuuza, huwa yanaandika habari za LFC au MAN UTD!!!



Nmeiona hii nimecheka sana, Maddock ana mbwembwe saana!

View attachment 246524
 
BR analalamika mpaka Huruma!!!
View attachment 246515

Hahha anasahau kwamba we are die hard fans ila we still wait cup before we dead and gone

Am tired of this shit kwa kweli ningejaribu kumuunga mkono kwa kauli yake kama angeifanya LFC kuwa team ile inayofunga 1 goal inapigwa 3 then tunashinda 4 at the end, I want that spirit again.

BR AM SUFFOCATING UNDER YOUR SHIT, I AM ONLY LFC FAN IN MY HOOD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom