Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Heri wewe unaejua soka maana kwako Vidic, Cahil na Mané wote ni 'CB'' kiasi cha kulinganisha impact za red cards zao katika mchezo.

Kama sio ni umepanic basi kunywa maji upunguze hasira.

Mkuu si lazima sote tuwe Watathmini Soka! Jaribu Kutafuna Fani Nyengine iliyorahisi kwako May be Kajaribu Mchezo Wa Karata Huenda ukawa unakipaji Kule! Lakini kwenye Soka sio Fani yako....
 
Safari hii mtafukuwa sana makaburi ili kupunguza streess na aibu. Kuna mwimbaji moja kaimba za kale zilipendwa. Leteni mengine

Sent using Jamii Forums mobile app

Zakale Huandikwa, Na wala Hazipotei.... Huwezi sema Real Madrid amebeba UCL 12 kama Hukuhesabu na Za Kale...

Huwezi sema Man U ana Trophy za Premier League 20 Kama Hukuhesabu na Zakale...
 
You wrong again!
Chelsea kutolewa Cahil akala tatu za haraka haraka na trash Burnley
Pep au Wenger au Klopp mpo pungufu toka dakika ya 37 anakupiga easy
Ina maana Chelsea nao wabovu?Burnley anapata hata sare na Chelsea 11 kwa 11?
Turning point ilikuwa kadi ta Mane.Period
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.

Kwao ni tukishinda tumebahatisha ila litimu ni libovu kwa vipimo vyao vyote!!Huu mtazamo ni totally irrational.

Mwingine baada tu ya kuona vikosi na formation za timu zote akawalaumu city kwa kutumia mabeki watatu na kwamba hiyo ingewacost sana kwa kuzingatia ubora wa Mane na Salah.Mtu huyohuyo baada ya kufungwa anakwambia ye alijua tu tutafungwa kwa sababu Hendo sio mzuri.Jina la Hendo lilikuwepo kwenye line up tangu anatoa mtazamo wake wa awali.Ila on a post match "analysis" anashangaa Hendo kuendelea kuwa mchezaji wa kutumainiwa.

Hata kama mimi simkubali kihivyo Hendo lakini honestly siwezi kukubaliana na huu uzandiki wa kijinga kabisa wa vilawama vya kibwege kutoka kwa yuleyule aliyekuwa positive kabla mambo hayajaharibika.

Na wale mnaojificha tukishinda na kutokea kila tukifungwa kuja kuwalaumu walewale nawauliza tukishinda hao mnaowalaumu huwa hawachezi?Mmejaa michuki tu kwa individuals na anybody rational hawezi kuwaelewa kabisa.

Tumepata red card tumepotea mchezoni tumefungwa basi.Malawama hayasaidii hata kidogo
 
Heri wewe unaejua soka maana kwako Vidic, Cahil na Mané wote ni 'CB'' kiasi cha kulinganisha impact za red cards zao katika mchezo.

Kama sio ni umepanic basi kunywa maji upunguze hasira.

Narudia tena ww hujui lolote kwenye soka!Nashauri endelea tu kuangalia netball yako
 
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.

Kwao ni tukishinda tumebahatisha ila litimu ni libovu kwa vipimo vyao vyote!!Huu mtazamo ni totally irrational.

Mwingine baada tu ya kuona vikosi na formation za timu zote akawalaumu city kwa kutumia mabeki watatu na kwamba hiyo ingewacost sana kwa kuzingatia ubora wa Mane na Salah.Mtu huyohuyo baada ya kufungwa anakwambia ye alijua tu tutafungwa kwa sababu Hendo sio mzuri.Jina la Hendo lilikuwepo kwenye line up tangu anatoa mtazamo wake wa awali.Ila on a post match "analysis" anashangaa Hendo kuendelea kuwa mchezaji wa kutumainiwa.

Hata kama mimi simkubali kihivyo Hendo lakini honestly siwezi kukubaliana na huu uzandiki wa kijinga kabisa wa vilawama vya kibwege kutoka kwa yuleyule aliyekuwa positive kabla mambo hayajaharibika.

Na wale mnaojificha tukishinda na kutokea kila tukifungwa kuja kuwalaumu walewale nawauliza tukishinda hao mnaowalaumu huwa hawachezi?Mmejaa michuki tu kwa individuals na anybody rational hawezi kuwaelewa kabisa.

Tumepata red card tumepotea mchezoni tumefungwa basi.Malawama hayasaidii hata kidogo

Mkuu ni wa kuwavumilia tu!
Hendo huyo huyo na Arsenal hapa walimsifia lkn leo wanamponda!Team kabla ya red card sisi ndiyo tulikuwa tunashambulia zaidi
Team yetu ni nzuri sana tena sana!Tuna depth ya kutosha mno!
 
Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.

Sent using Jamii Forums mobile app
huu mfumo wa Klopp 4 3 3 ni ishu kwa kweli mana Mane kupewa kadi akiwa kwa mechi zote msimu huu juhudi zake zimeonekana kulimvuruga kocha...pale pale alitakiwa abidil mfumo na kuona namna ya kumdhibiti De Bruyne....goli 5 hata tukiwa pungufu ni nyingi sana aisee...
 
kweli ndio huo coutinho mkubwa kuliko club ya vijogoo

Kabla Ya Kuendelea Zaidi Ningependa Kujua Vitu Vieili kutoka Kwako ili nikuquote kulingana na Kiwango chako manake Naona Unasumbuka tu hapa:-

1) Niambie Elimu yako ni ya Kiwango gani
2) Niambie Umeanza Kufutalia EPL kuanzia mwaka gani

Sasa Maswali yangu ni haya:

*Coutinho alileta Barua ya Kuomba Kuruhusiwa kuhama (Transfer Request) Kwa Bodi ya Timu! Lakini alitolewa Jeuri Na FSG Kuwa "LIVERPOOL IS NOT A SELLING CLUB" and "YOU ARE FUC.KIN NOWHERE TO GO"

Sasa Kama Coutinho Ni Mkubwa Kuliko Timu! KWANINI YEYE NDIYO AOMBE KWA TIMU NA WALA TIMU ISIMUBE YEYE?
NA KWANINI TIMU IMTOLEE JEURI NA AKASHINDWA KUFANYA CHOCHOTE BAADA YA KUTOLEWA JEURI?
JE INAWEZEKANA MDOGO KUMTOLEA JEURI MKUBWA WAKE?
SASA MKUBWA NI NANI KATI YA YULE ALIOMBA, AU ALIYEOMBWA AKATOA JEURI?

Nilihitaji Kujua Kiwango chako cha elimu kwasababu Kama Ni Bashite Hitoweza Kunijibu Kitaaluma bali utanijibu Kibashite! Na Kwasababu wewe ni Mtu usiejuilikana nitarajia Majibu Yasiojuilikana ya Kibashite..
 
Mkuu inahitaji uvumilivu sana kudeal na some characters in here.Tukishinda wala hawaonekani baada ya mechi.Ila tukifungwa tu....hata kwa sababu zinazojulikana kama mechi ya jana.....watakwambia ni kwa sababu zilezile wanazozifikiria.

Kwao ni tukishinda tumebahatisha ila litimu ni libovu kwa vipimo vyao vyote!!Huu mtazamo ni totally irrational.

Mwingine baada tu ya kuona vikosi na formation za timu zote akawalaumu city kwa kutumia mabeki watatu na kwamba hiyo ingewacost sana kwa kuzingatia ubora wa Mane na Salah.Mtu huyohuyo baada ya kufungwa anakwambia ye alijua tu tutafungwa kwa sababu Hendo sio mzuri.Jina la Hendo lilikuwepo kwenye line up tangu anatoa mtazamo wake wa awali.Ila on a post match "analysis" anashangaa Hendo kuendelea kuwa mchezaji wa kutumainiwa.

Hata kama mimi simkubali kihivyo Hendo lakini honestly siwezi kukubaliana na huu uzandiki wa kijinga kabisa wa vilawama vya kibwege kutoka kwa yuleyule aliyekuwa positive kabla mambo hayajaharibika.

Na wale mnaojificha tukishinda na kutokea kila tukifungwa kuja kuwalaumu walewale nawauliza tukishinda hao mnaowalaumu huwa hawachezi?Mmejaa michuki tu kwa individuals na anybody rational hawezi kuwaelewa kabisa.

Tumepata red card tumepotea mchezoni tumefungwa basi.Malawama hayasaidii hata kidogo

Wakuu Mungelikuwa Munafatilia Kwa Umakini Post Zetu Since the Deadline Day....!

Kwanza Kabisa Mkuu Mnyakatari Mimi sijawahi Kuitilia Mashaka Safu Yetu Ya Ushambuliaji Hata Siku Moja! Bali Huwa mara nyingi Ninacomplain Kuwa Mo Salah Hayuko Makini Katika Ufungaji Kutokana na Kuwa Anatupotezea nafasi Nyingi Sana za Wazi lakini silalamikii uwezo wake..
Na Huwa ninamlaumu Klopp Kwanini Hatafuti Natural Goalscorer (CF) badala ya Kutumia False CF (Firmino)!!

Sisi Complain Yetu ya Kudumu Mkuu ni Defensive Midfield (DM) pamoja Central Defender (CD/CB)...

Kabla Kabla Ya Kutuquote Jaribu Kusoma Kwa Makini Tunachokijadili...

Hatuna Doubt Kwa Mane, Salah, Coutinho, Lallana na Firmino.

Mkuu Malafyale Sisi Tisiomkubali Hendo, Since Hizi his arrival Hatukuwahi Kumsifia, Na Hata Baada Ya Hiyo Game ya Arsenal pia tulimuona Kuwa ni Shit DM... Mkuu Hendo is Nothing kwenye Timu yetu...

Mkuu ni wa kuwavumilia tu!
Hendo huyo huyo na Arsenal hapa walimsifia lkn leo wanamponda!Team kabla ya red card sisi ndiyo tulikuwa tunashambulia zaidi
Team yetu ni nzuri sana tena sana!Tuna depth ya kutosha mno!
 
Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiasi fulani upo sahihi ila unawezaje kulinganisha uwezo wa bunley na man city? Ukianbiwa utaje timu3 ambazo zinaweza kuchukua ubingwa man city utaiweka lakini sio bunley, sasa jiulize uko pungufu na unacheza na watu ambao wanaweza kutwaa ubingwa na upo pungufu unacheza na timu inayoweza kushuka daraja
 
Ubishi mengine ni ya ukoo. Hatushangai. Cahil alipewa kadi dakika za 37 baada ya hapo tuliogea Magoli 3 za faster na kusema Leo chelsea watapigwa wiki. Tulivyorudi hakika mlikiona kilichotokea. Mechi ilikuwa balance tulivyopata goli 1 hapo ndo watu wakaanza kuziba mikono yao. Kilichofata tukapewa 2nd red card. Then bila uoga kabisa tukaongeza goli la 2. After 9 minutes mpira ukaisha.
Nyinyi jana mane kapewa red dakika ya 30 and above. Kilichotkea ulikiona. Mlipotea kama hampo uwanjani
Therefore, Liverpool ni mbovu zaidi ya chelsea.
Chelsea 2 red card.
Results. Chelsea 2 vs 3 Burnley.
Liverpool 1 red card.
Results. Liverpool 0 vs 5 Man city.

Sent using Jamii Forums mobile app

Absolute garbage!
3-0 ilikua wakati Cahil tu kapewa kadi,anatolewa Fabr tayari mmeisha pigwa 3!Uwe na kumbukumbu
Kama trash team kama Burnley ambayo likely itashuka daraja inakupiga 3 sababu tu Cahil katolewa vipi sasa utasalimika 5 kwa Man City wanaofikiriwa hata kuwa mabingwa?
Nonsense at all!Unatujazia sred yetu tu kwa michango ya hovyo
 
FB_IMG_1504979958636.jpg
 
Ikiwa Sadio Mane atakuwa banned Kwa Mechi 3, he will miss the home match with Burnley, away trip to Leicester and the Caraboa Cup trip to the King Power.
 
Virgil Van Dijk move could happen in January, claims reporter

Virgil van Dijk could still move to Liverpool in January, according to journalist Ian McGarry.

He says that the Southampton defender believed that his deal to move to Anfield would go through this summer, but could still force through a move in the New Year.
 
Are Liverpool's midfield the guilty party?

So there has been plenty of discussion about Liverpool’s midfield following Saturday’s defeat.

√Emre Can, after having arguably his best game for Liverpool against Arsenal, was anonymous.

√Gini Wijnaldum’s awayday curse continued.

√Jordan Henderson disappeared when Liverpool needed him most.

This stat tells you all you need to know about how Liverpool’s midfield went missing.

So are Liverpool’s midfield good enough?
 
Karius
Gomez Lovren Matip Robi
Can Hendo OX
Mane Fimo Salah

Seville na waje tu na tunawapiga easy tu!
Tuache kupanic
 
Defense yetu huwezi ilaumu kwa jana
Team ilicheza vyema sana kabla ya kadi nyekundu ya mtu anayeibeba team!
Man City angepewa kadi nyekundu mtu wao muhimu sana uwanjani Silva wangesalimika?
Mane's red card gave Man City a game.Period
Hata defense angekuwa VVD na Kompany kwa team yenye quality kama Man City mkiwa pungufu mnafungwa
Defense mbovu sana ...yani mbovu mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ndiyomaana Niliwahi Kukwambia Kuwa Ndani Ya Bongo Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Mpira! Na Wala Hakuna Mshabiki Hata Mmoja Wa Chelsea Anaejua Chochote Kinachohusu Chelsea Kabla Ya Kuja Morinho (Before 2004)...

Mkuu 5G nilikuanza wewe na Cha Ajabu Umeshindwa Kuzilipa Sasa unafurahi Kulipiwa na Man City...

Mkuu Mwanamme hahitaji Kupigiwa bali Hupiga Mwenyewe..

View attachment 585545 View attachment 585547
Hizi historia hazina maana yetote kwa sasa. .

Kama mlishindwa kubeba ligi kipindi cha akina Gerrard. Milner, Lucas Alonso ...nk basi andiken maumivu tu ..maana kwa ubovu wa kikosi ulichonacho usitegemee kuvuka hata hatua ya makundi UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
United alifungwa 6-1 na Man City alipo pata kadi nyekundu Vidic
Chelsea kafungwa 3 alipopata kadi nyekundu Cahil!
Kusema tina defense mbovu mwaka huu sababu ya mechi ya jana sio sahihi!
Ukiwa pungufu kwa dakika karibia 60 kwa team yenye quality kama Man City unategemea nn?
Liverpool tupo sawa sana mwaka huu na game ya jana iliamriwa kwa kadi nyekundu.Period
Acha kujitetea wewe ..Chelsea pamoja na upungufu wa players wawili tena muhimu dhidi ya Barnley ..bado ilifanikiwa kurudisha magoli mawili ...sasa wewe kutolewa tu mane unapigwa tano, je angetolewa mwingine ci ungepigwa kumi

Wee kubali timu ni mbovu na ilizidiwa kila upande.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom