Keita tayari
Wamekubali kwa 74 M
Monday tuna bid kwa Van Djiik
Lkn Barca watakuja back kwa 90M pia week ijayo
Tujiandae
 
Yeah nafurahi kusikia hbr njema km hz,next season tuna CL so tunaitaji Kikosi kipana hasa but nimesikia can amekubali kwenda juve.Ningekuwa mm ndio jk ningewaambia mnapokuja kwa ajir ya can mje na dybala hapo wakiondoka hawarud tena!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mlivyochukua kikombe cha jana mmejawa na furaha za kupitiliza yani Can aunganishwe na Dybala are u serious ..???
 
2e9c8528b2bbe788e43ceb288da09f67.jpg

Keita deal done.
 
Jeshi liko happy sana...season mpya ianze tu...naona tukiwatandika kina manyang'au united goli za kutosha sana....
 
Manyang
Jeshi liko happy sana...season mpya ianze tu...naona tukiwatandika kina manyang'au united goli za kutosha sana....
Katika timu za kuzifikiria, manyang'au is not one of them...ukiangalia msimu uliopita, timu iliyojitahidi kucheza mpira ilipokutana na Liverpool ni spurs peke yake
 
Back
Top Bottom