idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
unaandika usichokiamini.
pole sana wenzio wanaleta picha wewe unakuja na porojo.!!