manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,092
- 11,947
mwongo ww.msafara ulikuwa wa kawaida na pikipiki za kawaida kwani kila mwendesha pikipiki alilipwa 8,000.slaa aliingia mjini mida ya saa 8 na ushee hivi akaelekea savoy .mie nipo hapa kwenye viwanja vya k/ndege panapofanyika mkutano.kila mtu hapa mjini anaendelea na shughuli zake kama kawaida.utadhani hakuna mkutano.tunamshukuru mungu kuwa chadema wameshika adabu.ila matusi hapa mkutanoni kama kawaida.vibaka wamejaa usiseme.wenyewe (vibaka)wanasubiri litokee jambo wafanye kazi yao.ila sasa ni saa 12 na dakika 5 inaelekea wamepiga chini.babu hana jipya.yaleyale.:embarassed2::embarassed2:
Dogo unapokuwa na inda na hasira tafadhari usiposti kitu chochote kwa maana naona unajichanganya sana , hebu ona unasema ulikuwa kiwanja cha ndege tangu saa nane na wakati huo unasema kila mtu anaendelea na shughulizake WEWE HUNA SHUGHULI ? umeonaje hayo wakati ukiwa k/cha ndege AMBAKO NI PEMBENI PA MJI. Pia je hizo sh elfu nane ulizionaje au wewe ndo ulikuwa mfadhiri? au unachukulia dau la CCM ndo la kila chama ? Dogo nenda taratibu utakufa na presha kama mwenzio alivyokufa leo muda si mrefu.