Swali kwa kina Ritz,Sumu,Rejao,na wengine wote washirika wa ufisadi na ujangili wa Tembo aka dentist.wakati katibu wenu mkuu mtaalamu bingwa wa meno ya Tembo ndugu Kinana alipokwenda Morogoro akiwa na Vuvuzela Nape walialika akina Diamond,lina na wengineo je leo hapo Morogoro mkutano wa Dr wa ukweli mmeona mwanamziki gani alieitwa kuvuta watu ili CDM ionekane imjeza watu kusikiliza mkutano?Maccm yalibeba watu kwa maroli na kualika open show ya kina diamond ndipo mkapata watu wa kuwasikiliza.
Acheni Mungu aitwe Mungu.
Acheni Mungu aitwe Mungu.