KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Tuondolee ukichaa Wako hapa
mpanda jr usihangaike naye jukumu ulilonalo leo la covarage ya mkutano ni kubwa sana.mpotezee tu huyo ni miongoni wa vijana wa lumumba kazi yao ni kutibua ili uanze kujibizana naye na kuacha hoja ya msingi.
Tunasubiri updates