Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Diamond yupo?Naendelea kutupiamo mie mpaka Magamba wanune
Diamond yupo?Naendelea kutupiamo mie mpaka Magamba wanune
haaa kwa kweli sina mbavu, naona povu linakutoka! Huwezi kuukwepa ukweli mkuu!Poleni sana, hapa kwa mikakati yenu mliua mtu, tutawaletea picha za watu watakaofika kwenye mazishi ya Cowobama.
Diamond yupo?
Utasikia wakisema sawa sawa, hakisawa kwa wote mara ya kwanza sikuja kumbe hata kubeba mimba wanaume wabebe hiki chama hakifai kabisa ndiyo maana wameolewa....Waliberali mpo? Watu wa HAKI SAWA KWA .................
Naaaaam
utasikia wakisema sawa sawa, hakisawa kwa wote mara ya kwanza sikuja kumbe hata kubeba mimba wanaume wabebe hiki chama hakifai kabisa ndiyo maana wameolewa....
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924
tehhhhhhhhhhh...hahahhhh, mkuu ngoja niagize kinana baridiiiiiiiiiiiiiiiii, freedom is coming now
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
kamati ya ufundi? sasa mbona unaweka hadharaniAta mimi nipo hapa tunafanya mambo.
viva CHADEMA.
Ila mimi leo nimepewa kazi maalumu na babu hapa moro ili mh ateme sumu vizuri bila kua na mawazo yoyote!
hapo ndiyo mwisho wako wa kufikiriWenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.
Wananchi wanacheka hapa kua muda Mh Rais Kikwete yupo Japani ameenda kuzindua Pre School(Chekechea) yupo huko toka tarehe 28 na atarudi tarehe ratiba yote anayo Dr Slaa