kasembe
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 158
- 45
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Ebu nipe maana ya neno NDOA kutoka tafsri yeyote unayoijua wewe halafu uniambie kati ya Dr Slaa na Kikwete aliyezaa nje ya ndoa ni nani?